Viva89
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 1,262
- 530
Huwa inanisikitisha saana nikiwa natoka nyumbani asubuhi mida ya 5.30 - 6am na kuona wanafunzi wa primary school,mmoja mmoja anatembea kwenda shule.
Hapo bado kuna giza fulani na yupo peke yake, na wengi niwaonao nadhani hawajapita miaka 12. Ni hatari sana kwa watoto hao kutembea mida hiyo peke yao,yani hata mtu wa kumsindikiza hata kituo cha basi na kusubiri apande hayupo!..alafu baada ya mda mzazi anaenda kuripoti polisi mtoto amepotea.
Jamani ambao hauna/hatuna watoto tufanye kazi kwa bidii, tusave hela baadae watoto wetu wasitembee kwenye giza peke yao, ni hatari sana na wazazi naombeni waangalieni hao watoto wenu kwa makini,dangerous times we live in.