kichungwaa
Member
- Oct 21, 2014
- 70
- 15
Wanapatikana wapi vile?
Kina Nani?
Wanapatikana wapi vile?
Ye mwanaume kafanya sperm analysis??!!!
Yawezekana hata yeye ana shoot blanks tu. . . . . .Waende wote hospitali kwa wataalamu
Halafu uwapeleke ka Kaizer wakapewe ushauri wa kindoa aanze huyo dada akishaelewa somo atamuelekeza huyo mtarajiwa wake
Waowane kwanza watoto majaaliwa, na huyo rafiki yako nae hashukuru mungu kumuonyeshea kua huyo mwanamme sie?
Anachepuka anajua na still anataka kuzaaa yuko desparate sana? ana miaka mingapi rafiki yako?
Hawa ni wachumba au wanandoa maana umechanganya. Kama.ni wa wachumba nani kawaruhusu kufanya tendo la ndoa?
Cc Asprin Ennie atoto Honey Faith King'asti
Shem darling hata mie nimepigwa na bumbuwazi ujue!! Wachumba gani wa aina hii!!!