Watoto miyeyusho

Dah, huyu mtoto hata aogopi akidondoka atawapa tabu wazazi kuitakatisha hiyo nguo nyeupe, nyeupe ikichafuka haiwezi kurudi Kua nyeupeeeee
 
Haha...
I like them the way they're.
I like when they're huge,

when they take place and occupy a space. I like them like that.
 
Kuna Mtoto mwingine kafunikwa kwa nyuma aisee
 
Dooh.....kumbe kuna mtoto kwenye hyo pichaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Baada ya kuangalia picha, kama unasoma nilichoandika, hebu kumbuka color ya nguo za huyo mtoto pichani, maana nina uhakika umetumia muda mwingi kuangalia hilo ziko kuliko chochote kingine kwenye hiyo picha.
 
Mtoto anatumika kumchafua Mama yake.
Hapo hakuna cha mtoto wala nini,kinachoshangaliwa ni makalio tu ya huyo mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…