Watoto kupotea Hospitalini

  • Thread starter Old Member (Retired)
  • Start date

O

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Messages
3,447
Likes
115
Points
0
O

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2012
3,447 115 0
Hili jambo linazidi kukuwa kadri siku zinavyozidi kwenda.

Tujadili, ni kina nani wanaoiba watoto hospitalini? wanawapeleka wapi? Kufanya nini?

Je? ni kweli suala hilo lina uhusiano na imani.za kishirikina? ni kweli kuwa wanawake wagumba huiba hao watoto?

Nawasilisha
 

Forum statistics

Threads 1,252,056
Members 481,989
Posts 29,794,218