Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
mimi pia napendwa sana na watoto wadogo popote nikiwa,sababu kubwa uwa nawanunulia zawadi pipi,biskuti,chocolate etc.
hivo inapelekea watoto wakiniona kwa mbali unikimbilia ata kama wamebebwa na wazazi wao,watawaponyoka kuja kwangu,hio inatokana na kukaa nao vizuri na kuwapa zawadi kila siku,nikiwa sipo wananimiss sana.
Pia nimekuwa nikifanya party kwa mtaa na kulika watoto wote wadogo kuja kuparty,wanacheza,na kupata zawadi nyingi sana,kama utoi watoto awawez kukupenda,ni hayo tu
Inaonekana wewe ni mtu mwenye bahati kumbe tofauti na wale madem 70 kumbe hata watoto wanakupenda?
Watu wa namna hiyo, wana nyota ya pipi.
mimi pia napendwa sana na watoto wadogo popote nikiwa,sababu kubwa uwa nawanunulia zawadi pipi,biskuti,chocolate etc.
hivo inapelekea watoto wakiniona kwa mbali unikimbilia ata kama wamebebwa na wazazi wao,watawaponyoka kuja kwangu,hio inatokana na kukaa nao vizuri na kuwapa zawadi kila siku,nikiwa sipo wananimiss sana.
Pia nimekuwa nikifanya party kwa mtaa na kulika watoto wote wadogo kuja kuparty,wanacheza,na kupata zawadi nyingi sana,kama utoi watoto awawez kukupenda,ni hayo tu
Kuna watu wana bahati sana ya kupendwa na watoto wadogo au vijana wadogo wa jinsia zote mbili (kike na kiume), hivi ni kitu gani kinawafanya wapendwe na watoto? maana hata mtoto ambaye hamfahamu (mwenye kupendwa na watoto) akiongea naye maneno mawili matatu utakuta huyo mtoto anamfurahia na kuwa rafiki yake...kila akimwona anatabasamu na kumfurahia.
Na hao watoto wakishakua wakubwa basi urafiki unapoa na bado mtu anaendelea kupendwa na watoto wadogo popote pale anapokwenda.
Why?
Watu wa namna hiyo, wana nyota ya pipi.
Dah hongera sana...ila kuna ile mtoto akikuona tu anakupenda hata kama hujafanya chochote kwa mtoto, nasikia hii ipo
mimi pia napendwa sana na watoto wadogo popote nikiwa,sababu kubwa uwa nawanunulia zawadi pipi,biskuti,chocolate etc.
hivo inapelekea watoto wakiniona kwa mbali unikimbilia ata kama wamebebwa na wazazi wao,watawaponyoka kuja kwangu,hio inatokana na kukaa nao vizuri na kuwapa zawadi kila siku,nikiwa sipo wananimiss sana.
Pia nimekuwa nikifanya party kwa mtaa na kulika watoto wote wadogo kuja kuparty,wanacheza,na kupata zawadi nyingi sana,kama utoi watoto awawez kukupenda,ni hayo tu
Sidhani kama zawadi na kujali ni sababu ya kupendwa na watoto, Kwakweli mimi si mtoaji mzuri wa zawadi na wala si mtu wa stori sana ila mara nyingi mno nimekuwa nikiona watoto wakinipenda hadi kunishangaza mimi mwenyewe. Nakumbuka miaka ya mwishoni mwa tisini nilishi kwa mjomba wangu mmoja na ilikuwa familia kubwa sana lakini watoto wake walinipenda sana from day one, mtoto mmojawapo hakuwa akikubali kubebwa na mtu mwingine yeyote kama niko around. Wakati Fulani nilikuwa nimepanga mahali Fulani penye wapangaji wengi, basi nikitoka chuo watoto wa wapangaji wenzangu wananizunguka na kuingia chumbani kwangu, hapo sijatoa zawadi wala kuwapigisha stori, I think it just happens naturally!