Watoto 8 wa vigogo waliokuwa wakituhumiwa kughushi vyeti na kupata ajira BoT waachiwa huru

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watoto wanane wa vigogo waliokuwa wameshitakiwa wakidaiwa kupatiwa ajira katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kutumia vyeti vya kughushi, baada ya kutowakuta na hatia.

Walioachiwa huru ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beatha Massawe, Jacqueline Juma, Philimina Mtagurwa na Amina Mwinchumu.

Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema, aliwaachia huru washitakiwa hao jana, alipokuwa akisoma hukumu ya kesi hiyo iliyochukua takribani miaka minane.

“Mahakama hii imewaona washitakiwa hawana hatia na kuwaachia huru kutokana na upande wa jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yao pasi na kuacha shaka yoyote,” alisema.

Alisema wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo, upande wa jamhuri ulileta mashahidi sita na vielelezo kadhaa na baada ya washitakiwa kuonekana wana kesi ya kujibu walijitetea wenyewe na kuleta vielelezo.

Alisema ni jukumu la upande wa jamhuri kuthibitisha mashitaka pasi na kuacha shaka yoyote na kwamba sio jukumu la mshitakiwa kuthibitisha kosa hilo.

Hakimu huyo alisema wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo, upande wa jamhuri uliwasilisha nakala za vyeti na kwamba ulishindwa kuwasilisha vyeti halisi kuonesha kipi halali na kipi cha kughushi.

Hakimu huyo alisema pia baada ya kufunga ushahidi pande zote ziliomba kuwasilisha hoja za kisheria iwapo zinaona washitakiwa wana hatia ama la, lakini hadi mahakama inatoa hukumu hakuna upande hata mmoja uliofanya hivyo.

Alisema upande wa jamhuri haukuleta shahidi aliyetengeneza vyeti hivyo badala yake walileta nakala tu za vyeti, hivyo upande wa jamhuri umeshindwa kuthibitisha mashitaka pasi na kuacha shaka yoyote.

Alisema upande wa jamhuri kama walikuwa na nia ya kuthibitisha kesi wangemleta mtaalamu wa maandishi ambaye angethibitisha iwapo vyeti hivyo vilikuwa vya kughushi ama la badala yake imebaki hisia tu.

Hakimu huyo alisema mahakama hiyo imesikiliza ushahidi wa kuhisi, kwa upande wa jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka, hivyo imewaona washitakiwa hawana hatia na kuwaachia huru.

Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao walikuwa wakidaiwa kughushi vyeti vya kuhitimu kidato cha nne na kutoa hati za uongo kwa mwajiri wao ambaye ni BoT.
 
Undugunization ni jipu lingine lakutumbuliwa hapa TZ...Kitengo akiingia kabila fulani ghafa kabila hilo ndo linatawala eneo hilo sasa kama si undugunization inaama sababu mkurugenzi ni kabila A ndo sababu ya watahiniwa wa kabila hilo A wote ku-pass interview? Any way kama walipata kazi kihalali bila kujali ni mtoto wa nani wacha waendelee na kazi.
 
Hivi aliyetakiwa kuthibitisha kama hizo nakala za vyeti vya wahusika ni nakala za VYETI VYA KUGHUSHI ni nani kama siyo Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)? Au ilithibitishwa kwamba matokeo, majina ya mtahiniwa na shule, index number na mwaka wa kumaliza yaliyo katika hizo nakala hata kule NECTA yanaonyesha hivyo hivyo bila manipulation yoyote? Na kama hali ndiyo hii basi hakuna atakaepoteza kazi kwa kosa la kughushi cheti na akifukuzwa na mwajiri ni kwenda tu mahakamani ambako hakuna atakaeweza kuthibitisha kama cheti kimeghushiwa.
 
Bila shaka waendesha mashitaka walikula mlungula. Kwa makusudi kabisa hawakupeleka shaidi moja muhimu : NECTA.
Hao ndiyo wenye uwezo wa kusema kama cheti kimegusiwa au la.
 
kwa maana hiyo hata pesa ikiwa fake kama huna mtaalam wa kuthibitisha hilo umeula
 
Hakimu huyo alisema wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo, upande wa jamhuri uliwasilisha nakala za vyeti na kwamba ulishindwa kuwasilisha vyeti halisi kuonesha kipi halali na kipi cha kughushi.

Hizi kesi muda mwingine ofisi ya Mwendesha mashitaka wa Serikali inatakiwa kuadabishwa! Ina maana Wizara ilishindwa kutafuta Shahidi mwenye cheti halali na halisi kuithibitishia Mahakama utofauti inayobishaniwa?

Hongera zenu mlioshinda kesi na kwa vile mmeshinda basi fungueni Kesi ya Madai dhidi ya BOT na Serikali kama hatua ya kuwafikisha Mahakamani wakati huo waliwaachisha Kazi!. Ingawa kama hamkulifanyia kazi wakatio huo mnaweza kumbana na Mikwamo.

Ila kama kushinda kwenu kesi kumekuja kwa Kudra za mwenyezi Mungu na kwamba mlikuwa na vyeti Feki kimya kimya nyuma pazia furaha moyo kwa kukwepa adhabu.
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watoto wanane wa vigogo waliokuwa wameshitakiwa wakidaiwa kupatiwa ajira katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kutumia vyeti vya kughushi, baada ya kutowakuta na hatia.

Walioachiwa huru ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beatha Massawe, Jacqueline Juma, Philimina Mtagurwa na Amina Mwinchumu.

Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema, aliwaachia huru washitakiwa hao jana, alipokuwa akisoma hukumu ya kesi hiyo iliyochukua takribani miaka minane.

“Mahakama hii imewaona washitakiwa hawana hatia na kuwaachia huru kutokana na upande wa jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yao pasi na kuacha shaka yoyote,” alisema.

Alisema wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo, upande wa jamhuri ulileta mashahidi sita na vielelezo kadhaa na baada ya washitakiwa kuonekana wana kesi ya kujibu walijitetea wenyewe na kuleta vielelezo.

Alisema ni jukumu la upande wa jamhuri kuthibitisha mashitaka pasi na kuacha shaka yoyote na kwamba sio jukumu la mshitakiwa kuthibitisha kosa hilo.

Hakimu huyo alisema wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo, upande wa jamhuri uliwasilisha nakala za vyeti na kwamba ulishindwa kuwasilisha vyeti halisi kuonesha kipi halali na kipi cha kughushi.

Hakimu huyo alisema pia baada ya kufunga ushahidi pande zote ziliomba kuwasilisha hoja za kisheria iwapo zinaona washitakiwa wana hatia ama la, lakini hadi mahakama inatoa hukumu hakuna upande hata mmoja uliofanya hivyo.

Alisema upande wa jamhuri haukuleta shahidi aliyetengeneza vyeti hivyo badala yake walileta nakala tu za vyeti, hivyo upande wa jamhuri umeshindwa kuthibitisha mashitaka pasi na kuacha shaka yoyote.

Alisema upande wa jamhuri kama walikuwa na nia ya kuthibitisha kesi wangemleta mtaalamu wa maandishi ambaye angethibitisha iwapo vyeti hivyo vilikuwa vya kughushi ama la badala yake imebaki hisia tu.

Hakimu huyo alisema mahakama hiyo imesikiliza ushahidi wa kuhisi, kwa upande wa jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka, hivyo imewaona washitakiwa hawana hatia na kuwaachia huru.

Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao walikuwa wakidaiwa kughushi vyeti vya kuhitimu kidato cha nne na kutoa hati za uongo kwa mwajiri wao ambaye ni BoT.
Ni aibu sana, au kuna namna, utawashitakije watu kama huna ushahidi? haya ni majibu yanayohitaji kutumbuliwa hata kama hayajaiva
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewaachia huru watoto wanane wa vigogo waliokuwa wameshitakiwa wakidaiwa kupatiwa ajira katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa kutumia vyeti vya kughushi, baada ya kutowakuta na hatia.

Walioachiwa huru ni Justina Mungai, Christina Ntemi, Siamini Kombakono, Janeth Mahenge, Beatha Massawe,[/red] Jacqueline Juma, Philimina Mtagurwa na Amina Mwinchumu.

Hakimu Mkazi Mkuu, Warialwande Lema,] aliwaachia huru washitakiwa hao jana, alipokuwa akisoma hukumu ya kesi hiyo iliyochukua takribani miaka minane.

“Mahakama hii imewaona washitakiwa hawana hatia na kuwaachia huru kutokana na upande wa jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yao pasi na kuacha shaka yoyote,” alisema.

Alisema wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo, upande wa jamhuri ulileta mashahidi sita na vielelezo kadhaa na baada ya washitakiwa kuonekana wana kesi ya kujibu walijitetea wenyewe na kuleta vielelezo.

Alisema ni jukumu la upande wa jamhuri kuthibitisha mashitaka pasi na kuacha shaka yoyote na kwamba sio jukumu la mshitakiwa kuthibitisha kosa hilo.

Hakimu huyo alisema wakati wa usikilizwaji wa kesi hiyo, upande wa jamhuri uliwasilisha nakala za vyeti na kwamba ulishindwa kuwasilisha vyeti halisi kuonesha kipi halali na kipi cha kughushi.

Hakimu huyo alisema pia baada ya kufunga ushahidi pande zote ziliomba kuwasilisha hoja za kisheria iwapo zinaona washitakiwa wana hatia ama la, lakini hadi mahakama inatoa hukumu hakuna upande hata mmoja uliofanya hivyo.

Alisema upande wa jamhuri haukuleta shahidi aliyetengeneza vyeti hivyo badala yake walileta nakala tu za vyeti, hivyo upande wa jamhuri umeshindwa kuthibitisha mashitaka pasi na kuacha shaka yoyote.

Alisema upande wa jamhuri kama walikuwa na nia ya kuthibitisha kesi wangemleta mtaalamu wa maandishi ambaye angethibitisha iwapo vyeti hivyo vilikuwa vya kughushi ama la badala yake imebaki hisia tu.

Hakimu huyo alisema mahakama hiyo imesikiliza ushahidi wa kuhisi, kwa upande wa jamhuri kushindwa kuthibitisha mashitaka, hivyo imewaona washitakiwa hawana hatia na kuwaachia huru.

Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao walikuwa wakidaiwa kughushi vyeti vya kuhitimu kidato cha nne na kutoa hati za uongo kwa mwajiri wao ambaye ni BoT.
Mungu wangu nisaidie na uibariki familia yangu maskini.The greatest thing i hate in hte World right now is POVERTY.Nawaasa masikni wenzangu TUSOME.SHULE,SHULE,SHULE,SHULE.ELIMU.Nimejifunza sana kuishi na watu wengi dunia hii God bless my legal HUSTLES.
 
Ni aibu sana, au kuna namna, utawashitakije watu kama huna ushahidi? haya ni majibu yanayohitaji kutumbuliwa hata kama hayajaiva
Akitumbuliwa huyo wakili mkaazi utakuja MAKALA Kwenye kila gazeti kesho,kaonewa.Mambo ya Loopholes za kisheria.
 
Hivi aliyetakiwa kuthibitisha kama hizo nakala za vyeti vya wahusika ni nakala za VYETI VYA KUGHUSHI ni nani kama siyo Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA)? Au ilithibitishwa kwamba matokeo, majina ya mtahiniwa na shule, index number na mwaka wa kumaliza yaliyo katika hizo nakala hata kule NECTA yanaonyesha hivyo hivyo bila manipulation yoyote? Na kama hali ndiyo hii basi hakuna atakaepoteza kazi kwa kosa la kughushi cheti na akifukuzwa na mwajiri ni kwenda tu mahakamani ambako hakuna atakaeweza kuthibitishwa kama cheti kimeghushiwa.
Waliokamatwa wamo kina Massawe na mawakili ni haohao kina masawe.Ulitegemea nini mkuu?????????????
 
Wanalipwa fidia, wanarudishwa kazini na kupandishwa vyeo mara moja
 
Yale yale ya Magufuli na meli ya samaki kwa uzembe wa waendesha mashtaka nchi inangia gharama ya kuwalipa ...hivi serikali inaposema ina mkono mrefu ni kwenye mambo ya kudeal na wapinzani tu ,kweli mmeshindwa kuchukua ushahidi NECTA kama hivyo vyeti ni halisi au ni vya kufoji ,???
 
Back
Top Bottom