Watoto 100...!

nakumbuka kitabu cha watoto wa mama ntilie, mwishoni mwandishi akamaliza kwa kuandika, NANI ANAJALI? hii inanikumbusha hadithi ya kisasi niliyoisoma humuhumu JF juu ya tukio alilofanya binti mary, dah! ngoja niishie tu hapa

Hebu nipe link ya hicho kisasi mkuu...
 
Hebu nipe link ya hicho kisasi mkuu...
nimeshindwa kuweka link mkuu, ila nimeku-mention huko tayari kama hujapata alert pitia jukwa la entertainment utaiona ipo hapo mwanzoni
 
Sawaaa mkuuu
 
Kaka Victor alijiandaa kwa ajili ya watoto wangapi mkuu? James amefaidi nini cha baba yake?

Nashindwa nikubaliane na wewe au mzee Izadin.

Mkuu Mentor inategemea ndoto za mzazi juu ya familia yake usikute investment yote aliyoiaandaa ilikuwa kwaajili ya watoto wawili au watatu kila mtu ana mipango yake lakini hilo swala la James ni jambo la bahati mbaya lililosababishwa na Bro Victor kutomtambua ni mwanamke wa jinsi gani hasa alimuoa na hii ilisababishwa hasa na kutojishughulisha sana na mahusiano wakati wa ukuaji/ ujana wake, aliingia kichwa kichwa labda kwakujua wanawake wote ni sawa na mama yake au dada zake kitabia
 

Umeongea jambo la maana sana bro hapo mwishoni. Pamoja na kwamba lengo langu la mkasa huu ni kuelezea kwamba riziki yatoka kwa Mungu ila ni vyema kutambua kuwa 'ukikosea kuoa...'

Usinifanye nianze kumuongelea shem...
 
Teh, Mentor katika ubora wako...story nzuri japo haijamaliziwa..

Wapi tena haijamaliziwa mdogo wangu?

Nimejifunza jamboo hapo kaka victor amenisikitisha jamanii ILA huyo mdada amenikera to the maximum!

Semeni nyie...mi sitaki kabisa kumuongelea shemeji yangu!

Sijui ndo mipango ya Mungu ili tujue riziki anagawa yeye!??
 
Wapi tena haijamaliziwa mdogo wangu?



Semeni nyie...mi sitaki kabisa kumuongelea shemeji yangu!

Sijui ndo mipango ya Mungu ili tujue riziki anagawa yeye!??
Ngoja aface her own karma
 
Mkuu mentor hapo ndio tungo zako huwa nazifananisha na mtunzi mmoja nguli wa liwaya ndugu Hussein Tuwa
 
Umeongea jambo la maana sana bro hapo mwishoni. Pamoja na kwamba lengo langu la mkasa huu ni kuelezea kwamba riziki yatoka kwa Mungu ila ni vyema kutambua kuwa 'ukikosea kuoa...'

Usinifanye nianze kumuongelea shem...
Mkuu Mentor Itabid umuongelee na Shemeji pia Maana naamini kuna kina victor wengi hata humu jukwaani so mi nadhani kwa kumuongelea shemeji humu utakuwa umetoa darasa jingine aisee
 
mmh stori zimeshaanza mapema namna hii
nianze kusoma riwaya hadi riwaya
 
Mentor hii ya leo kama nimevurugwa hapo mwishoni mzee Izadin ndo ana watoto 18? Victor yy hakuomba watoto 100? Victor ameingiaje hapo? Au mzee Izidan alikuwa ndo anakusimulia? Mhhhhh nieleweshe na mimi nielewe.....
 
Dah. Hiki kisa cha Victor kimenisikitisha. Ila nmejifunza jambo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…