Watoa maoni ni wa tz ni mikoa mitatu tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoa maoni ni wa tz ni mikoa mitatu tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Najijua, Apr 8, 2011.

 1. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau naomba kuuliza na mwenye majibu sahihi wanipe hivi huu mchakato wa katiba mpya ni wa Tanzania wa mikoa mitatu tu?Dar Es Salaam, Dodoma na Zanzibar????

  Siku walizoweka ni sahihi kwa jambo kubwa sana kwa mustakabali wa taifa?
   
Loading...