GE2025 Watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania Ubunge Mtwara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Jumla ya watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Mtwara ikiwemo Ubunge,Ubunge Viti Maalum pamoja na Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara.

Akitoa taarifa za watia nia wa nafasi hizo katika majimbo 10 yaliyopo mkoani Mtwara Katibu wa Siasa,Uenezi na Mafunzo Juma Hassan amesema kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025 wanawake hao 44 waliyochukua fomu 24 ni wale wa kugombea Ubunge kwenye majimbo,18 Ubunge wa Viti Maalum na kwa upande wa wagombea Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara ni wanawake 2 ambao ni Rehema Lukundu na Shakila Mpomo.

Amefafanua kuwa idadi ya watia nia hao wa nafasi ya ubunge katika majimbo 10 mkoani humo ikiwemo Jimbo la Tandahimba ambapo wanawake 2 wamechukua fomu kati ya wanaume 14,Mtwara mjini wanawake 3 ikiwemo Judith Nguli kati ya wanaume 9 akiwemo Hassan Mtenga anaetetea kiti chake,Mohamed Abdallah (Mudy Ray) na Joel Nanauka.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtwara vijijini wanawake 3 akiwemo Hawa Ghasia aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na wanaume 5 akiwemo Arif Premji,Nanyamba mwanamke 1 kati ya wanaume 4,Newala mjini wanawake 3 kati ya wanaume 7 akiwemo Haruni Maarifa,Newala vijijini wanawake 2 kati ya wanaume 8.

Na Nanyumbu wanawake 2 kati ya wanaume 7,Lulindi wanawake 3 kati ya wanaume 9 akiwemo Issa Mchungahela na Sameer Murji,Masasi Mji wanawake 3 na wanaume 5 ambapo Geoffrey Mwambe anatetea kiti chake na Ndanda wanawake 2 kati ya wanaume 9 akiwemo Cecil Mwambe.

Idadi hiyo inafanya jumla ya watu waliyochukua fomu na kurejesha ni 98 wakiwemo wanaume 74 na wanawake 24,ubunge viti maalum 18 na wagombea ubunge kundi la umoja wa vijana ccm 2 na kufanya jumla ya watia nia wanawake 44 kuanzia juni 28 mpaka julai 2,2025.

Screenshot 2025-07-03 193331.png
 
Kama sifa ni.
Kujua kusoma na kuandika tu.
Kusifu na kupiga makofi
Kukata mauno
Watafika hata 1000
Nashauri wabunge waoongee KINGEREZA WWAKIWA BUNGENI. Kwa siku japo 30 tu
Itapunguza ujinga mwingi bungeni
 
kingereza inapunguza ujinga? kivipi mkuu?
 
Hawa Ghasia(Mtwara vijijini)+Yahaya Mhata (Nanyumbu,pia anatetea kiti)=Wakishinda Ubunge itakuwa Mtu na mkewe wako Bungeni.
 
Jumla ya watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Mtwara ikiwemo Ubunge,Ubunge Viti Maalum pamoja na Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara.

Akitoa taarifa za watia nia wa nafasi hizo katika majimbo 10 yaliyopo mkoani Mtwara Katibu wa Siasa,Uenezi na Mafunzo Juma Hassan amesema kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025 wanawake hao 44 waliyochukua fomu 24 ni wale wa kugombea Ubunge kwenye majimbo,18 Ubunge wa Viti Maalum na kwa upande wa wagombea Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara ni wanawake 2 ambao ni Rehema Lukundu na Shakila Mpomo.

Amefafanua kuwa idadi ya watia nia hao wa nafasi ya ubunge katika majimbo 10 mkoani humo ikiwemo Jimbo la Tandahimba ambapo wanawake 2 wamechukua fomu kati ya wanaume 14,Mtwara mjini wanawake 3 ikiwemo Judith Nguli kati ya wanaume 9 akiwemo Hassan Mtenga anaetetea kiti chake,Mohamed Abdallah (Mudy Ray) na Joel Nanauka.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtwara vijijini wanawake 3 akiwemo Hawa Ghasia aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na wanaume 5 akiwemo Arif Premji,Nanyamba mwanamke 1 kati ya wanaume 4,Newala mjini wanawake 3 kati ya wanaume 7 akiwemo Haruni Maarifa,Newala vijijini wanawake 2 kati ya wanaume 8.

Na Nanyumbu wanawake 2 kati ya wanaume 7,Lulindi wanawake 3 kati ya wanaume 9 akiwemo Issa Mchungahela na Sameer Murji,Masasi Mji wanawake 3 na wanaume 5 ambapo Geoffrey Mwambe anatetea kiti chake na Ndanda wanawake 2 kati ya wanaume 9 akiwemo Cecil Mwambe.

Idadi hiyo inafanya jumla ya watu waliyochukua fomu na kurejesha ni 98 wakiwemo wanaume 74 na wanawake 24,ubunge viti maalum 18 na wagombea ubunge kundi la umoja wa vijana ccm 2 na kufanya jumla ya watia nia wanawake 44 kuanzia juni 28 mpaka julai 2,2025.

View attachment 3392923
Naomba kuuliza ,kipindi cha Jiwe wengi sana namanisha 2020 , watu walichukua form maana walijua upo ubunge wa Bure na ilikua hivyo , tukajikuta tupo na Bunge hovyo kuwai tokea .

Swali
Je hii record ya 2020 imevunjwa? Kama imevunjwa au haikuvunjwa si ndo yaleyale.

Narudia tena Mwaka huu hakuna uchaguzi asema Bwana, unaweza kuwepo ila kwa kuchelewa asema Bwana.

Tunataka mgombea bila kujali anatoka chama kipi apimwe na kura za wananchi.

Hii ni nzuri sana kila chama kitapata watu makini, hukubaliki kura ya mwananchi itakuengua tu, haya ndo mamlaka kamili ya wananchi.

Sasa machawa wapo piga mdomo eti tupo na chuki binafsi na ccm, ccm ni chama hakina shida ,shida walioko me chamani , chadema na vyama vingine haviwezi kuwa shida , maana chama ni kama jumuia flani wenye focus moja but chama kipo tu na kitakuepo ili hali kimesajiliwa na kutimiza kanuni na sheria. Mfano chauma kilikuepo na kipo

Ccm sio nchi ni chama ,mwaka 2015 japo kipo chini kilipata kijana sana mdogo wa kugombea uspeeker wa Bunge kwa wasio wabunge na barua kupitia chama ichi kwenda tume ilipitishwa kabisa ila sijui nini kilitokea ,wenda Mwenyekiti wa chama anajaua hili vizuri ,ila ndo alifanya michakato yote mpaka tume ,sijui huyu kijana yupo wapi , au ameisha kufa au yupo na mambo mengine maana sikuwahi muona akirudisha form.

Niseme haina hii ya vijana ndo mzee na mwenyekiti alitakiwa kuwakumbatia sio hawa wa kusaka fulsa waliotoka chadema, kwamba yule kijana wakati anajiunga chauma ,ccm ilikuepo, chadema ilikuepo na vyama vyingine why hakwenda kule ? Na ni msomi mzuri tu.
Hawa ndo watu wa kuleta mapindunzi ndani chaumma sio hao wavamizi, akishirikiana nao , maana tujiulize wakati hawa walio hamia chauma toka chadema wakati ule wakila asali ya chadema mbona hawakuweza izungumzia Chauma leo urafiki unatoka aapi?

Mzee Na mwenyeki mtafute yule kija na mpe majukum ya kutosha mkisaidiana , ila pia wanachama waje ila sio kila mtu wa kuingia chumbani ,wataingia kadri mda uendavyo , ila wajao wajue chauma sio maarufu , mda mrefu ila umekiendesha kwa jasho na Dam
 
Jumla ya watia nia 44 wanawake wamechukua fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Mtwara ikiwemo Ubunge,Ubunge Viti Maalum pamoja na Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara.

Akitoa taarifa za watia nia wa nafasi hizo katika majimbo 10 yaliyopo mkoani Mtwara Katibu wa Siasa,Uenezi na Mafunzo Juma Hassan amesema kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025 wanawake hao 44 waliyochukua fomu 24 ni wale wa kugombea Ubunge kwenye majimbo,18 Ubunge wa Viti Maalum na kwa upande wa wagombea Ubunge Viti Maalum Vijana Tanzania Bara ni wanawake 2 ambao ni Rehema Lukundu na Shakila Mpomo.

Amefafanua kuwa idadi ya watia nia hao wa nafasi ya ubunge katika majimbo 10 mkoani humo ikiwemo Jimbo la Tandahimba ambapo wanawake 2 wamechukua fomu kati ya wanaume 14,Mtwara mjini wanawake 3 ikiwemo Judith Nguli kati ya wanaume 9 akiwemo Hassan Mtenga anaetetea kiti chake,Mohamed Abdallah (Mudy Ray) na Joel Nanauka.

Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha Mtwara vijijini wanawake 3 akiwemo Hawa Ghasia aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo na wanaume 5 akiwemo Arif Premji,Nanyamba mwanamke 1 kati ya wanaume 4,Newala mjini wanawake 3 kati ya wanaume 7 akiwemo Haruni Maarifa,Newala vijijini wanawake 2 kati ya wanaume 8.

Na Nanyumbu wanawake 2 kati ya wanaume 7,Lulindi wanawake 3 kati ya wanaume 9 akiwemo Issa Mchungahela na Sameer Murji,Masasi Mji wanawake 3 na wanaume 5 ambapo Geoffrey Mwambe anatetea kiti chake na Ndanda wanawake 2 kati ya wanaume 9 akiwemo Cecil Mwambe.

Idadi hiyo inafanya jumla ya watu waliyochukua fomu na kurejesha ni 98 wakiwemo wanaume 74 na wanawake 24,ubunge viti maalum 18 na wagombea ubunge kundi la umoja wa vijana ccm 2 na kufanya jumla ya watia nia wanawake 44 kuanzia juni 28 mpaka julai 2,2025.

View attachment 3392923
Mfumo jike unatafutwa kwa udi na uvumba.
 
Back
Top Bottom