Wathamini ndugu zako acha roho ngumu

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Wapendwa katika Jf habari za weekend weekend inasemaje weekend hii imekuwa poa Sana mifuko imeja mapesa sio?

Nawakumbusha kuwa thamini ndugu zenu au ndugu zetu hasa tulioko mjini wengi tukifika mjini ampendi ata kuongeleshwa kilugha yaani kinyakyusa amtaki kuongeleshwa mkiongeleshwa mnajibu kiswahil

Pia kijijini kwenu au kwetu nyumba inavuja makabuli hayafanyiwa usafi mama kule anatembea bila viatu

Upo mjini unakazi ya kuwapigia friend leo weekend wapi moyo umechafuka nataka kwenda kumwagilia moyo rafiki anakuambia leo nipo vibaya unasema ondoa shaka Mimi nipo wewe twende

Mnakwenda mna mwagilia moyo mpaka gari unashindwa kuendesha ndugu yangu kumbuka kwenu usijifanye umezaliwa mjini wewe kwenu mwakaleli uko

Nikupe siri watu wa kijijini hawataki hela nyingi ata 10000 wao iyo wanamaliza wiki ukifa leo utachekwa na hao ambao mnamwagilia moyo wote tena maneno yao yanakuwa hivi

Hela zote zile jaman na bar alikuwa hakahuki kumbe nyumba inavuja na mvua imemuumbua

Siku njema usisahau kukumbuka kwenu
 
Hio tabia nimeiona kwa wakinga wengi mjini ni matajiri ila akifa adi aibu kupeleka msiba kwao
 
Nimecheka ase
Ndo ivo mkuu tusiendekeze sana watu man.

Unakuta baba yupo, mama yupo na wana hali nzuri tu kimaisha na sio kua hawawezi paIba ni vile tu wamekariri kua ni lazima mtoto aliefanikiwa ndo apazibe.
Ndo hao husomesha mtoto kama ASSET kwao na sio kama wajibu wao.
 
Yah wapo wa namna hiyo ila kuna wengine hali zao duni Sana Kuna Bibi nikiendaga nyumban anakujaga mm nampenda yule bibi kalibia miaka 88 hivi lakini humkuti anaomba anaenda shamba hanalima Kama kawaida nikiendaga nampaga zawadi na akiniona nimeludi basi lazima haje nyumbani mara kwa mara
 
Si unaona sasa, bibi wa miaka 88 bado analima.

Wengine hawachelewi kujipa magonjwa.

Jama jama tutengeze kesho yetu vizuri, uzee wa kuomba omba sio kabisa
 
Utaomba mwisho wa siku utachokwa sasa vijana wa sikuizi Wana maisha ya mtandaoni

Mungu anitimizie tu ndoto zangu hakuna uzee Kama una pesa yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom