Wateule wa Serikali wanaionea CHADEMA

Ila tuache unafiki na tuiseme kweli, Chadema wanaonewa kweli kweli.

Na kama wewe ni mwanaCCM unashangilia ushindi dhidi ya Chadema awamu hii ya JPM basi wewe hauna akili.
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia.
Yule mzee alijenga CCM na katiba zote na maazimio yote ni mazao ya Kingunge. Yule mzee kafariki kwa majonzi sana, think the way he did for these f....cking crooked called CCM and their bashing......

Hell is waiting for you ........ The Alfa and Omega is at your gates...
 
Kwa kweli na mie nashangaa, mfano kama juzi kapilima na kagurumjuli wanakwepaje hapa kwani wao ndio walioanzisha hili valangati, halafu unaenda kamata watu wa kati, ninavyoona 2020 serikali ijiandae kuua halaiki, kwani sie wa mikoani tushaon a
 
Wanaiogopa CHADEMAAAAA mkuuu wanatetemekeaaaa
 
Point mkuu, wao wamewaganda chadema, wakati chadema wao ni wa mwisho kabisa, nineona uzi huku kaka 1 aliyekumbwa na hii kadhia akidai alishuhudia hayo maandamano, askari walipiga risasi sehemu ya akina mbowe na ule upande mwingine hata mabomu hayakupigwa, ina maana walimkusudia wamtoe roho, na hat hivyo anadai wakati akiwa amejificha saloon 1 ya kike ambapo wengi walikuwepo, aliwasikia askari wakitamka huyu mbowe kaponyokaje, ina maana walimkusudia mbowe na walishapata go ahead wamtoe roho, mbaya zaidi nimeona uzi mwingine ukisema kuwa askari wameenda sehemu alizopotelea mbowe na kuuliza nyumba 1 hadi nyingine kuwa nani alimficha mbowe, nimebaki nashangaa sana kwa hili wanalotaka kufanya
 

Hakuna baya kama kufuta upinzani (CHADEMA for that matter), upinzani utakao ibuka labda hata serikali na CCM hawatauhimili. CHADEMA ni upinzani wa kistaarabu, ukianza usio wa kistaarabu ndio tutaanza ikumbuka CHADEMA. I can bet.
 
Unasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yako
Unggejua siri ya mtungi baba wala usingesema, watu wanatishiwa kutolewa roho, ukigoma hongo unapewa jibu 1 tu, hutaki unauwawa, watu wana familia nani atazilea, ukigoma unafanywa kama diwani wa hananasifu
 
Du, mkuu yote yanayofanyika nchini mpaka viongozi wa dini wanaingilia kati unaona ni poa tu, aisee daah
 
Hivi wewe viongozu ndio wananchi? Tofautisha.
Hee.....kumbe viongozi siyo wananchi,ina maana viongozi wameshushwa hawakutokana na wananchi, la haulaaaa.....!!!!!! na hao wananchi 272 waliojiunga juzi na CCM kutoka vyama vya upinzani huko Kondoa, Loliondo na kwingineko siyo wananchi? Wewe utakuwa hauko sawa
 
Unggejua siri ya mtungi baba wala usingesema, watu wanatishiwa kutolewa roho, ukigoma hongo unapewa jibu 1 tu, hutaki unauwawa, watu wana familia nani atazilea, ukigoma unafanywa kama diwani wa hananasifu
Hayo majungu yenu tu mbona tupo nchi hii hii lakini hatuyaoni hayo, hata hivyo yule wa Hananasifu hakuwa Diwani bali alikuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya Hananasifu
 
Hayo majungu yenu tu mbona tupo nchi hii hii lakini hatuyaoni hayo, hata hivyo yule wa Hananasifu hakuwa Diwani bali alikuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya Hananasifu
endeleeni kuua baba endeleeni kwani mtaishi milele, 2020 jiandaeni kumwaga damu ya halaiki,
 
Hahaha hao ccm wenyewe wanaigiza. Mwananchi ajiunge ccm afuate nini?! Najua watu wanaogopa kufa lakini bila hivyo hakuna wa kujiunga na wauaji.
 
Hayo majungu yenu tu mbona tupo nchi hii hii lakini hatuyaoni hayo, hata hivyo yule wa Hananasifu hakuwa Diwani bali alikuwa Katibu wa Chadema wa Kata ya Hananasifu
Hahaha mpaka ufe tukuandike humu, huwa mkishiba mna mbwembwe sana
 
Mi huwa najua mtoto huiga kwa wazazi wake, sema tu mtoto huyo kazidisha maradufu, system ya chama hiyo, huyu kawazidi tu wenzake wote
Akizidi kusukuma iko siku wananchi watasukuma pia, acha avimbe kichwa kwa kuonea watu, haya uwa yana ukomo, hata punda anachoka, na akichoka hulala chini au hukimbia na kuanza kurusha mateke kujihami. Hakuna jipya chini ya jua, iko siku wataamka waliolala.
 
Huyo Mungu asikilize pumba hizi ulizotapika hapa? Labda si Mungu nimjuaye.
 
Sasa chadema inashitakuwa au viongozi wake ndio wanashitakiwa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…