Mafwi Munda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 1,750
- 1,605
Hahaha huwezi ku survive kwa kusajiliwa tu, nguvu ya ziada inaitajika kusonga mbele.Mhhh mimi kwa mawazo yangu hakuna haja ya kufuta vyama kwa kuwa hamkubaliani,kwani ndio msingi wa vyama hivyo kuwepo hadi vikasajiliwa,Vyama vya siasa sio NGO,madhumuni ni kutwaa dola.
Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.
Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.
Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.
Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Wateule wa mwenyekiti wa ccm taifa watahojiwa na nani?! IGP mteule wa mwenyekiti wa ccm taifa, DPP mteule wa mwentekiti wa ccm, AG mteule wa mwenyekiti wa ccm, jaji mkuu mteule wa mwenyekiti wa ccm. Wote wanatekeleza maagizo ya boss wao. Chadema wanaonewa hawawezi kupata haki humu nchini.Hili suala laki la kupigwa risasi lazima wote hawa wahojiwe:
1.Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni- kushindwa kutoa barua kwa wakati
2. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni- kushindwa kuthibiti maandamano ya amani
3. Viongozi wa Chadema- kujiridhisha kama walihamisisha maandamano ya wananchi na kama walikuwa na silaha
Ili kuleta uwiano wote hawa waathibiwe wote
Unasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yakoJe, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.
Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.
Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.
Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Hawatafanikiwa kamwe!!!!Je, huu ndio mwanzo wa mwisho wa ccm?! Tunaona wananchi wanaichoka CCM sasa inatetewa na kila chombo cha dola na vyenye kutoa maamuzi.
Msajili wa vyama, tume ya uchaguzi, polisi na mahakama vyote vime side na ccm. Sasa makosa ya Serikali wanataka yatumike kuihukumu CHADEMA.
Wanaanza kusema CHADEMA ifutwe ilikuiondolea CCM upinzani. Wameona CCM imeshindwa kujitetea yenyewe sasa wanatumua vyeo vyao walivyopewa na mwenyekiti wa ccm kuimaliza CHADEMA.
Wote walioteuliwa na mwenyekiti wa CCM taifa wanajitoa akili kutaka kuiangamiza chadema, msajili wa vyama vya siasa, mwenyekiti tume ya uchaguzi, IGP, DED na majaji wa Mahakama wote wanaitafutia CHADEMA makosa.
Hii haitakuwa haki kwa CHADEMA kuhukumiwa na mpinzani/hasimu wake kisiasa. Wakitaka kuihukumu chadema walete chombo huru kisicho na maslahi yoyote kisiasa Tanzania
Wanatafuta ku survive, waliisha gundua kama huna kazi unajiunga na chadema, kisha unasubiria polepole aje, anakupa kazi pia pesa. Hata ccm wakongwe wanafahamu ccm inaundwa na chadema. Ukitoka chadema unapewa na ubunge.Unasema wananchi wanaichoka CCM wakati ni CCM hiyo hiyo inazidi kuwapokea wanachama wa Chadema wakijiunga nayo,huo utafiti wako umeufanyia wapi? Pambana na hali yako
Hahaha tunafahamu, ila hakuna kinachodumu mileleHawatafanikiwa kamwe!!!!
Hahaha ungeandika kwa kiswahili sasa tukueleweMAKARAI MWISHO WENU
Hahaha hapa hata JK tungemsema tu. Hakuna haki inayotolewa na hasimu wako.Mulikuwa munasema JK dhaifu sasa malipo duniani hapa hapa kudadeki!!
Wao wanadhani wapinzani ni viongozi wa chadema.Chadema hata ikifutwa kwenye makaratasi ya msajili itaendelea kuishi. Huyu mnyampala was barabara soon ataomba po