GE2025 Watetezi wa wenye Ulemavu (TAJU): Wasimamizi wa Uchaguzi tendeni haki. Uchaguzi ufanyike kwa Amani

GE2025 Watetezi wa wenye Ulemavu (TAJU): Wasimamizi wa Uchaguzi tendeni haki. Uchaguzi ufanyike kwa Amani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Taasisi ya Tanzania Jumuishi (TAJU) inayotetea haki za watu wenye ulemavu nchini imetoa wito kwa Watanzania kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu bila kujihusisha na vurugu na machafuko.

TAJU imetoa wito huo hii leo jijiji Dar es Salaam zikiwa zimesalia siku chache kuelekea siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025.
 
Back
Top Bottom