Watetea Haki na Maendeleo kwa Umma Wataishi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watetea Haki na Maendeleo kwa Umma Wataishi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eedoh05, Jun 8, 2011.

 1. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  " Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki;
  Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia;
  Bali kwao wakemeao furaha itakuwako;
  Na baraka ya kufanikiwa itawajilia
  " Mithali 24: 24-25
   
 2. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  " Amwambiaye mtu mwovu, wewe una haki;
  Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia;

  Bali kwao wakemeao furaha itakuwako;
  Na baraka ya kufanikiwa itawajilia
  "

  Mithali 24: 24-25 (
  Biblia: Maandiko Matakatifu)

  Na maandiko yanasema, dunia na mambo yake yote yatapita, lakini neno la BWANA halitapita. Mungu si mwanadamu hata akasema uongo. Haya tunayashudia leo hii katika dunia hii. Afrika yote imeamka watetezi wa waovu wanalaaniwa kila uchao. HALELUYAAAAAAAAAAAAA!
   
Loading...