Watesi wa Kabendera ni nani?

IGP hili anajifanya hajui ILA the so called UGAUDI wa Mr.Mbowe,huyu IGP naye anakwenda nyumba za ibada na kumwomba ALLAH wakati anajijua amejaa ushetani mkubwa unaoendeshwa na njaa yake ya tumbo.Historia itakuja kuhukumu yote haya ni just a matter of time.
 
Hii Dunia usipoijua hasa kukataa historia unapoteza Muda. Lipumba aligongwa virungu Kipindi cha IGP Mahita pale Kidongo Chekundu. Leo yuko wapi Lipumba na Mahita. Hili nalo litapita
 
Hii Dunia usipoijua hasa kukataa historia unapoteza Muda. Lipumba aligongwa virungu Kipindi cha IGP Mahita pale Kidongo Chekundu. Leo yuko wapi Lipumba na Mahita. Hili nalo litapita
 
Hana
Amini ninachokuambia, hana hiyo kitu.

Angekuwa nayo ingeshafika mpaka EU
 
Meko yuko analiwa na funza,siro,mambosasa,diwani hao ndio watesi wake
 
Meko kafa,, mwingine Makonda yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…