Water treatment machine inauzwa

ZULU QC

Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
53
Reaction score
13
MKO POA WAKUU,SASA NIMEKUJA NA MITAMBO YA KISASA AMBAYO INAWEZA KUCHUJA MAJI KWA KIASI CHA 1000LITA/SAA
INA VITU VIFUATAVYO
I.SAND FILTERS
2.ACTIVATED CARBON
3.SOFTENER
4.CARTRIDGE FILTER SYSTEM
5.MEMBRANE-4
6.UV-LIGHT
7.ANTSCALANT DOSING SYSTEM.

BEI NI TSH 13.4M,NAKULETEA HADI ULIPO,
WASILIANA NA MIMI 0676010978
 
pia natoa huduma ya quality consultation na ushauri kuhusu food processing plants especially beverages
kama una shida na packaging materials tuwasiliana natoa huduma.
 
anae hitaji crowns-vizibo kufungia chupa pia tuwasiliane utapewa kwa bei ya kiwandan. 0676010978
 
Kuhusu hili jambo,hukutakiwa uweke mbwembwe nyingi mkuu,picha ni MUHIMU
 
zamani biashara ya maji ilikuwa inalipa sana ubungo.. ila kaja magufuli maji dawasco yanatoka kila siku... nilikuwa na ndoto ya kununua hiyo mashine niuze maji ila zimeyeyuka
 
zamani biashara ya maji ilikuwa inalipa sana ubungo.. ila kaja magufuli maji dawasco yanatoka kila siku... nilikuwa na ndoto ya kununua hiyo mashine niuze maji ila zimeyeyuka
bado uhitaji ni mkubwa sana ,ndoto yako isife
 
Dear my team
my name is Raiton Japhet Tanzanian male Holding Bsc Food science and technology from SUA
Now im dealing with supplying and installation of water treatments plants as well as servicing the installed systems.
1.If you have a bore hole or any source of water and water is more saline with high hardness and other objection matters and heavy metal i can resolve the issue by supplying water treatment system(we have domestic use RO 250Litres/hr)
2.If you want to install deionizer for demineralized water used in laboratory and pharmaceutical also i can give you the system minimum 100Litres/hr
3.If you want to open water factory and you dont have idea i can help you.
4.If you have water treatment plant and you want to install i can help you.
5.If there is any problem in membrane and you need CIP i can do for you
6.if you need any quality and technical issues for your plant i can do for you.
7.If you need help for food safety compliances also i can do.
8.If you need cartridge filters for water i can supply to you any size you need
9.If you need assistance in audits like FSSC22000,FSMS22000 i can help you.

for more information contact me

mobile :0676010978

email:jraiton@ymail.com

 
karibuni sana tuijenge Tanzania
 
Nikikutafutia wateja utanipa commission?
 
I need a system for desalination sea water, do you have?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…