the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Si kweli.Kozi zote mbovu angalia utakufa njaa bure dogo
Habar zenu wana jf, mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu 2015, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka, nahitaji ushauri kutoka kwenu je ipi inasoko kwa sasa, na pia ni rahisi kujiajiri ww mwenyewe pale umalizapo kuisoma! Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Agri engineering na irrigation ni almost wanasoma kozi zinazolingana ..tofauti huwa ni ndogo sana hasa mwaka 3!!Agr eng ni ngumu ila inalipa mno kampun zitakugombania vibaya kwa irr eng kazi zake kwa serikal uhakika wanatoa kila wakitoa nafac ajira wizara ya kilimo na wako wachache dip ni mbeya peke ake kwa serikali,go for agr eng ila kaza sana,mimi nimepga horticulture ndugu nafahamu kozi za kilimo vzur tu
Soma Civil Engineering
Kama ungelisoma diploma ningekushauri usome B.eng in Civil and Irrigation engineering pale Arusha Technical College(ATC)
Ahh! Wap acha uongo M nasoma pale chuo cha maji kwanza wote mkopo huakika kupata then cha mcng awe tayar kupga job mikoan tena ndanndan huo koz ndko miradi mngi ya maji ilipo,na kuna system serikali inataka ianzishe wahitimu wote wa chuo cha maji,watakuwa wanapangwa vtuo vya kazi kama ualimu vile wanavyofanyiwa, m namshaur aje maj wanafnz w degree wako wachache 2017 chuo ndo ktatoa wahtimu wa kwanza kwa level degree ,m namshaur aje maji ubungo,kipo karbu na coet"udsm" barabara y udsm utakiona chuo "maji kwa maendeleo"
Agr eng ni ngumu ila inalipa mno kampun zitakugombania vibaya kwa irr eng kazi zake kwa serikal uhakika wanatoa kila wakitoa nafac ajira wizara ya kilimo na wako wachache dip ni mbeya peke ake kwa serikali,go for agr eng ila kaza sana,mimi nimepga horticulture ndugu nafahamu kozi za kilimo vzur tu
Acha kuogopesha watu,SUA kila kozi ni ngumu.Hiyo siyo ngumu kama kuna watu wanapiga toka mwaka wa kwanza mpaka wa nne bila kuingiza probation utasemaje kozi ngumu.Tumesoma hiyo kitu na raia kibao hata single probation hatukuipataAgr eng ni ngumu ila inalipa mno kampun zitakugombania vibaya kwa irr eng kazi zake kwa serikal uhakika wanatoa kila wakitoa nafac ajira wizara ya kilimo na wako wachache dip ni mbeya peke ake kwa serikali,go for agr eng ila kaza sana,mimi nimepga horticulture ndugu nafahamu kozi za kilimo vzur tu