Water resources and irrigation engineering vs agricultural engineering

jablesman

Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
47
Reaction score
2
Habar zenu wana jf, mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu 2015, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka, nahitaji ushauri kutoka kwenu je ipi inasoko kwa sasa, na pia ni rahisi kujiajiri ww mwenyewe pale umalizapo kuisoma! Natanguliza shukrani zangu kwenu.
 
Wanakuja ucjali m2 ang mi bado bado kidogo
 
Water resource ni nzuri zaidi, mi mwenyewe nataka kufanya masters
 
water resources n irrigatn mpango mzm mi mwenyewe naenda soma hyo
 
Kwa pale SUA kozi mama ilikuwa Bsc.Agricultural Eng lakini imezaa kozi tatu na hiyo water resources.Kwa suala la ajira go for water and irrigation but ukitaka kuwa productive na ajira chukua Agricultural Engineering.
 
K!sawa kaka.
 
Karibu chuo cha maji ubungo,karbu na coet(udsm) kuna hy koz b.eng in water resources and irrigation engineering website ya chuo hii hapa Home
 
Soma Civil Engineering

Kama ungelisoma diploma ningekushauri usome B.eng in Civil and Irrigation engineering pale Arusha Technical College(ATC)
 
Soma Civil Engineering

Kama ungelisoma diploma ningekushauri usome B.eng in Civil and Irrigation engineering pale Arusha Technical College(ATC)

Ahsante kwa ushauri wako kaka,lakn pitia kichwa cha habari hapo juu.
 
Kozi zote mbovu angalia utakufa njaa bure dogo

Ahh! Wap acha uongo M nasoma pale chuo cha maji kwanza wote mkopo huakika kupata then cha mcng awe tayar kupga job mikoan tena ndanndan huo koz ndko miradi mngi ya maji ilipo,na kuna system serikali inataka ianzishe wahitimu wote wa chuo cha maji,watakuwa wanapangwa vtuo vya kazi kama ualimu vile wanavyofanyiwa, m namshaur aje maj wanafnz w degree wako wachache 2017 chuo ndo ktatoa wahtimu wa kwanza kwa level degree ,m namshaur aje maji ubungo,kipo karbu na coet"udsm" barabara y udsm utakiona chuo "maji kwa maendeleo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…