Itakuwa inahusu viwango au ubora wa maji (maji safi kwa shughuli mbali mbali -kunywa, viwanda, kumwagilia au maji taka pia)kwa matumizi fulani. Kwa mfano maji ya kunywa (utaangalia maji kifisikali (rangi, uzito etc), kikemikali( madini), kibiologia (wadudu) etc). Sio tu ubora bali pia mbinu tofauti za kupima ubora na ugunduzi wa mbinu hizo. Ni vitu gani huathiri vigezo hivyo. Jinsi ya kufanya maji yawe na ubora utakiwao. Na kadhalika