Wadau wapi nitapata hii mashine kwa lengo la kurahisisha kilimo cha vitunguu (umwagiliaji maji) about half an acre? Mimi ni mjasiriamali mdogo tu nipo huku wilaya ya Ruangwa. Please niambieni na bei yake,najua inanuliwa tu.

Mr Bigman...mimi ninayo mashine ya nguvu nilinunua Uingereza kwa kusudio la kutumia shambani kwangu lakini sijaweza kwasababu nipo nje.
Ni Kawasaki na inatumia petroli na nakuuzia pamoja na pipe zake kwa Tshs 550,000 kwasababu imenigharimu kuinunua na kuituma lakini nakupa uhakika kama ni mashine ya uhakika na imetumika kidogo tu ktk project moja huko huko uingereza.
Mpya inauzwa bei mbaya sana £450 kama 1.2 milion.