mi nazo water pump za honda inch 3 . bei Mil 1. tunakupa warranty mwaka mzima.
View attachment 464396[/QU.
Diesel o petrol
Upo wapi mkuu?Wakuu habari zenu ninaanza kilimo cha umwagiliaji natafuta water pump kwaajili ya shughuli hii.
Kama unayo uniuzie kwa bei nafuu njoo PM
Mwenzio anatafuta ya kitongami nazo water pump za honda inch 3 . bei Mil 1. tunakupa warranty mwaka mzima.
View attachment 464396