Wana JF habari za muda huu
Kutokana na changamoto za vifaa vingi vya majumbai kukosa spare hasa control board au kadi hvyo bhas hanstech 001 tupo kwaajili ya kutatua changamoto hyo tunaunda kadi za fridge,washing mashine,electric scooters hoverboard na digital micro wave na digital microwave karibuni sana hanstech001 muweze kujipatia huduma hii
0692470631
Location kigamboni mwongozo