Watengenezaji wa helmet walizingatia ISO ya kichwa.Hicho kichwa hakipo
kwenye ISO! Ni sawa na kusema watengenezaji wa Duet hawakuzingatia
umbo la kapteni TOT.
Watengenezaji wa helmet walizingatia ISO ya kichwa.Hicho kichwa hakipo
kwenye ISO! Ni sawa na kusema watengenezaji wa Duet hawakuzingatia
umbo la kapteni TOT.
Huko India singasinga wote huwa hawavai helmet wanapoendesha pikipiki kwani wanadai hakuna helmet inayoweza valiwa juu ya kilemba; na wao kuvaa kilemba kile kwao ni sehemu ya imani ya dini yao