Watendaji wa serikali kugawa sukari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watendaji wa serikali kugawa sukari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kikahe, Nov 11, 2011.

 1. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jamni hivi jukumu la msingi la maafisa watendaji wa serikali ni kugawa Sukari? Imenishangaza kuona ofisi za kata ndiyo zinauza sukari? Naomba kuelimishwa kwa hili jamani. I stand to be correctedif need arises
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huo ni mwanzo tu zile zama za kupanga foleni kugawiwa yale mahindi ya njano zimefika....tutaona mengi tu
   
 3. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,280
  Likes Received: 667
  Trophy Points: 280
  Hao wanakugawia sukari kama tu ushalipia bank na peislipu ndio unampa. Na process iko hivi, unaenda kwanza kwa mtendaji anakupa barua unaenda nayo benki unalipia sugar halafu ndio unarudi na peislipu
   
Loading...