Wateja wa DECI someni hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wateja wa DECI someni hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kaitaba, Nov 17, 2009.

 1. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kwa yeyote anayetaka kujiunga ktk shauri la kudai mbegu mahakamani awasiliane na wawakilishi wafuatao;

  Mabibo;
  Mr Sansom Kazimoto 0756 403850

  Kinondoni;
  Mrs Prisca Makaya 0754 264429

  Tegeta;
  Neemiah Gideoni 0713 692856
  Geofrey msangi 0713 350291

  Gongo lamboto;
  Mrs mstidia Rukangula 0754 814827

  Wengine nitakuwa nawatajia kadri mtakavyo niuliza, maana najua baadhi yenu mtaanza kuniuliza `source` Sina source ni mimi nimefuatilia
   
 2. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kweli ninyi watu hamna shukurani, nimewatafutia njia nzuri ya kufuatilia pesa zenu, hata kunipa thanks mnashindwa?

  au mnaogopa kuchekwa kwa kuliwa?!!!
   
 3. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mimi nikushukuru kwa kuweka namba za simu za wawakilishi umeniwezesha kupata namba za mama mmojawapo tulikuwa naye Dar kabla sijahamia huku kijijini. BBLESSED
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lengo lako nn hasa? thanx au kutoa taarifa?
   
 5. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mbegu mahakamani?!!!kwani MVUA zimeanza?pembejeo si serikali inazitoa mashambani!!!
   
 6. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru sana kwa kuliona hilo, pia na wewe ubarikiwe
   
 7. Kaitaba

  Kaitaba JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2009
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 928
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe vipi bila kufanya hivyo nitajuaje kama ujumbe wameupata?, ebu angalia mwenzako hapo juu.
   
Loading...