Kwa mtazamo wangu, huyu bwana angenyanyuka wakati kiti
kilipoalika the first time.Yeye aliona kama utani vile...mara dwaaahhh!!!..
mtu chini!!...kwi kwi kwi!
Imeonyeshwa jana kwenye MSNBC na KO and he kept on
repeating it....TBC nanyi mchunge eti!
Hii ndiyo mentality ya viongozi wetu, wishful thinking, the fundamentals of the economy are solid wakati nchi ipo katika depression. Most of them are in denial like that.
Hii ndiyo mentality ya viongozi wetu, wishful thinking, the fundamentals of the economy are solid wakati nchi ipo katika depression. Most of them are in denial like that.