Hii sidhan kama inaboresha bali inarekebisha. Coz kuna wengine due to some software au kitu fulani kinachosababisha video zisiplay kama inavyotakiwa kama nilivosoma maelezo ya jamaa kuwa mtu anaspeed ya 20 MB lakini video ikastuck mara 25 this is abnormal kabisa so hii ikafix tatizo hlo. Lakini sio ukadhan coz unatumia hii software lakn speed ya net ni ndogo bac haitastuck or kuongeza speed. Naah am talkin about self experience. Nilinstall hi kitu na kucompare na kustream ikiwa haipo i saw no difference zaida ya kula virtual memory yangu coz it runs on the background. The best solution is to get a faster internet connection na utastream videos kwa raha kabisa.