Mkuu wangu
Shayu, nadhani kuna haja ya kujiuliza tena, IPI HASA NI TAFSIRI SAHIHI YA MAENDELEO. Kwa hii tuliyonayo leo sioni namna gani inaishi. Binadamu hajawahi kuishi pasi kufanya ugunduzi, tunajiuliza sasa, aje ugunduzi wa mwanzo haikujengwa tabaka la masikini na tajiri hali huu wa sasa sivyo?