Ndio siasa hiyo mkuu.. Sometimes unakuwa kama ze comedy..Hawa wabunge ni kama wakwetu tanzania...Kuropoka na Vimbwanga bila kikomo..
yani hawana jipya kabisaa.....kuna mchangiaji badala ya kuquote vifungu vya katiba yeye haishi kutumia vifungu vya biblia kumtetea Zuma.....hahahaha Majambaz bhana yakishikwa kubayaANC ni kama CCM yetu. Sasa hivi imejaa wezi na sasa wameamua kuwa pamoja kutetea Zuma ambaye yaonekana kavunja katiba.