No money to buy this shitU understand which one is good 4 u

Tsh 7000,000 still cant able to afford it.![]()
u say true because is very expensive but there are cheap at the same specification example xiaomi poco f1 cost $300

Kula like kama zooteNo money to buy this shit![]()
After watch.....then ?
Nimeona ni ghali kweli, EURO 1,250!
Kwa kweli hapo nimeshindwa, na nikizipata ntaweka kwa ajili ya urithi wa watoto..
Wazungu wenyewe wameishindwa bei hasa hii iphone mpya bei inafika $2000.Ukiangalia comment za watu hasa watumiaji wa iphone wameponda hilo toleo simu internal inaanzia 64gb 128Gb 512gb halafu hamna sd card na bei yake $2000 wakati note 9 ina internal 512gb na sd card hadi 1Tb bei yake ni $800-900Wanatuona majuha hawa..![]()
Wazungu wenyewe wameishindwa bei hasa hii iphone mpya bei inafika $2000.Ukiangalia comment za watu hasa watumiaji wa iphone wameponda hilo toleo simu internal inaanzia 64gb 128Gb 512gb halafu hamna sd card na bei yake $2000 wakati note 9 ina internal 512gb na sd card hadi 1Tb bei yake ni $800-900
Hilo nalo neno lakini kujua yanayoendelea duniani sio mbaya bei hizo kwa watu kama bill gate ni kawaida ila usishangae akawa anatumia s4Wanasema tajiri anaga muda wa kuangalia tv, ye uwa anaenda kununua tu vitu expensive lakini masikini ndo uwa anaangalia ma uzinduzi ya ma vitu expensive
na hela anayo anacho angalia vitu vya muhimu anavipata mengine sifa unaweza kuwa na simu kubwa ukaitumia 10% zingine hujui ni vizuri kujua unanunua simu kwa ajili ya nini sio ushabiki.Ukiwa na internal 128gb sd card ya nn![]()