mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,066
- 39,512
tatizo ukisikia sd card mawazo yanakupeleka kwenye gb 8.Ukiwa na internal 128gb sd card ya nn
embu panda kwenye 256 hiv nk.
tatizo ukisikia sd card mawazo yanakupeleka kwenye gb 8.Ukiwa na internal 128gb sd card ya nn
Hukuelewa nilichomaanishatatizo ukisikia sd card mawazo yanakupeleka kwenye gb 8.
embu panda kwenye 256 hiv nk.
Na hajaelewa hadi saiv. Mwache tu!Hukuelewa nilichomaanisha
nimekuelewa sana,ndio maana nikakwambia memory ya gb 250 huwezi sema yanini.labda kama unazungumzia ya gb 8.8Hukuelewa nilichomaanisha
Nikiwa na internal storage ya 128gb inatosha sana sihitbji memory card yoyotenimekuelewa sana,ndio maana nikakwambia memory ya gb 250 huwezi sema yanini.labda kama unazungumzia ya gb 8.8
sawa,ila kuna watu hata gb 500 hazitoshi.Nikiwa na internal storage ya 128gb inatosha sana sihitbji memory card yoyote