M muwelewele Member Dec 3, 2016 35 29 Jan 4, 2017 Thread starter #2 tujikumbushe kidogo wale "vijana wa zamani" juu ya nguli huyu wa muziki wa dansi-Yondo Sister na kibao chake "mbuta mutu"... inasemekana alipohamia Ufaransa miaka ya 90 baadae aliamua kuachana muziki na kuokoka na kuwa muinjilisti hadi sasa hivi.
tujikumbushe kidogo wale "vijana wa zamani" juu ya nguli huyu wa muziki wa dansi-Yondo Sister na kibao chake "mbuta mutu"... inasemekana alipohamia Ufaransa miaka ya 90 baadae aliamua kuachana muziki na kuokoka na kuwa muinjilisti hadi sasa hivi.
Maguge Maguge JF-Expert Member Sep 1, 2016 2,734 1,774 Jan 4, 2017 #3 kwa hiyo na wewe mshabiki wake umeshaokoka?
M muwelewele Member Dec 3, 2016 35 29 Jan 4, 2017 Thread starter #4 mimi naamini katika matendo yampendezae mungu hivyo sioni umuhimu wa kutangaza kuokoka!