mkuu, samahani lakini ukitaka kuangalia movies za 3d lazima uwe na screen ambayo inaweza kudisplay 3d movies (iwe tv au laptop). bila kuwa nayo, kuwa na glasses au media player tofauti haibadilishi chochote. na kwa saa hizi laptop zinazoweza kuonyesha 3d ni chache mno na very very expensive.
fikiria hivi, unaweza kuangalia movie ya hi res kama 1080i kwa tv au laptop yeyote ila mpaka uone clarity ya hizo pixels, mpaka uwe na tv ya hd au laptop ya hizo resolution. yaani hardware ndo inasema.
peace
Mtoa mada amekurupuka.. sio kila laptop ina uwezo wa kuonesha 3D
it works thanks for sharing:wink2:
Una2mia laptop ipi mkuu ??
Una2mia laptop ipi mkuu ??