Watawala wetu wanatengeneza chuki katika Jamii yetu

Dikteta Uchwara
Mtu akimuita hivyo anaitwa mchochezi na kuamuriwa akapimwe mkojo........

Hivi kauli huwa zinatolewa kupitia mdomoni au kupitia kwenye njia ya mkojo?

Sasa kutoa kauli za uchochezi na kupima mkojo is it relevant?
 

Shida ya sizonje mihemko inamsumbua Sana, hawezi kabisa kubalance equations hoja za vyama vya upinzani ingawaje yeye ni mwanakemia aliyetukuka, anashindwa kuelewa kuwa kwa kuwatumia hawa ndio anatakiwa kutoboa,hapo tu ndipo mtangulizi wake anapoonekana kuwa ni genius Zaidi yake
 
Very true
 
Kodi yote ya majengo iliyolipwa juzi juzi na sasa pesa zote kapewa Lipumba msajili na Spika waivuruge CUF mpaka ife izikwe huko pole pole akila Tenda ya kuwanunua madiwani wa chadema Arusha, moshi na kwingineko, pesa za umma 80% baada ya kulipa mishahara na malipo mengine Kidogo wanalipwa madalali wa kuua upinzani ili ccm ibakie peke yake kama China.
 
Mtukufu kaamua kula pesa za umma kifisadi kupitia kisingizio cha Lipumba na wenzake, Serikali inakusanya kodi kubwa lakini wanatumia pesa zote kudhoofisha chadema na kuu CUF ni vigumu Nchi kupiga hatua kimaendeleo kwani ni Nchi inayotumia pesa nyingi kwenye mambo ya kijinga na hovyo kuliko Nchi yeyote Duniani, Mfano kule CUF wana ccm wanagharamia mpaka Waganga 43 wa kienyeji walioletwa na Abdalah kambaya kwa ajili ya kumlinda Lipumba pesa za umma inatumika kuendekeza ushirikina ndani ya CUF.
 
CCM waanzishe matawi ya ccm kila kituo cha Polisi wapewe kadi za uanachama wa ccm kwani kuanzia IGP mpaka chini wote ni wanachama wa ccm
 
Kwa matendo yake hiko chama ni kama kinajitafutia laana kwa Mungu........
 
CCM waanzishe matawi ya ccm kila kituo cha Polisi wapewe kadi za uanachama wa ccm kwani kuanzia IGP mpaka chini wote ni wanachama wa ccm
Yaani Polisii wetu kazi yao ni kupokea maagizo toka juu.....

Ina maana wao hawatendi tena kazi kwa weledi kwa kutumia taaluma yao bali kwa kupewa maelekezo toka juu?
 
Tatizo kubwa la serikali ya awamu ya 5 kufanya priority namba moja kwao kupambana na upinzani kwa nia ya kuviua vyama vya upinzani badala ya kuwaletea maendeleo wananchi!

Hivi kama JPM na serikali yake wakati wote wanafanya mikakakati ya kuviua vyama vya upinzani, hivi hiyo mikakati ya ujenzi wa viwanda wanaipanga muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…