Ni ujinga uliopitiliza kufikiri watu wote lazima tuwe UKAWA kama ilivyo kuwa ujinga kulazimisha watu wote wawe CCM.
Ni ukweli usiopingika wengi tunayaunga mkono mabadiliko na hakika tunataka kuyaona mabadiliko yakitimia lakini mabadiliko ya kuindoa CCM ya magufuli na kuiweka UKAWA ya lowassa ni sawasawa na kufuta sifuri na kuandika zero.
Lowassa hachaguliki nami kura yangu haipati hata kama angekuwa na uwezo wa kuendesha guta