maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,338
Ni aibu kubwa sana kama nchi waziri wako ajue kusoma na kuandika tu mkuu wa mkoa ajue kusoma tu na mkuu wa wilaya ajue kusoma na kuandika.
Akili ndogo inatawala akili kubwa ni shida sana na hii ni janga kubwa kwa sababu huu ni uonevu mkubwa kwa kuwa haki haikutendeka
Akili ndogo inatawala akili kubwa ni shida sana na hii ni janga kubwa kwa sababu huu ni uonevu mkubwa kwa kuwa haki haikutendeka