Watawala wapenda sifa uhongwa

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

DSC04584.JPG

Waziri wa Mambo ya Ndani 'Dk' Emanuel Nchimbi akivishwa shada la maua na kiongozi msaidizi wa dhehebu la dini ya kihindi ya Shri Swamirayan hivi karibuni. Nchimbi (mkristo) alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya uzinduzi wa msikiti. Mkristo na kuzindua msikiti wapi na wapi? Tukubaliane, jamaa hawa wanawaalika watawala wetu mafisadi ili kuwa karibu nao na kufanya mambo yao yaende. Ni Tanzania pekee ambapo jamii ya wageni inaweza kumilki uchumi na watawala. Kesho utasikia mhindi fulani haguswi hata akiingiza magendo au mihadarati ukiachia mbali wahamiaji haramu toka kwao.
 
Sasa hapo jamaa "kahongwa" kitu gani? Mbona unazusha tuu, Mkuu? Lakini ni wazi anayechechemea na kuinama kwa unyenyekevu kati yao hao wawili ni nani. Hapa inaonekana kuna mtego fulani, wa aina ya "no-brainer". Halafu hizi "quads" za Nchimbi hadi ainame namna hiyo sijui zinatokana na mazoezi (labda kutokana na Uwaziri wake ulipoita wa Michezo) au "natural giftedness" aka "genes" za kuinamia na kusujudu Wakuu waliomzidi, so to speak.
 
OnemanArmyMan you are right. Nilikosea. Nilipaswa kuuliza kama hapo ni salama au si mazingira ya kuweza kuhongana. Nisamehe pamoja na wasomaji wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom