Hapo namba mbili na tatu wamepandikizwa kuua msimamo, kwani namba mbili na tatu walishasema wazi kuwa msimamo wao ni kuwa fefha hizo SI ZA UMMA. Kama ni kweli wamewaongeza hao tusitegemee jipya.
Wakuu mnaoanzisha mada hasa mada nyeti katika jukwaa hili la Siasa.Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasirisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:
Hahahahahah Zitto bhana, Chadema haiwezi kufutika kwa mtindo huo..... eti katika wabunge wote waliomo humo Bungeni unawaona hao wa ccm tu....!!!!!....?????
Oooooh ati unaogopa kuwapa umaarufu Chadema?? kazi unayo ndugu yangu!!!!
BACK TANGANYIKA
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:
1.Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.
2.Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)
3.Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii......
Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?
Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:
1. Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.
2. Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)
3. Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii.
Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?
kwani wao wanaandaa ripoti gani tena wakati wao kazi yao ni kupitia tarifa ya CAG na kutoa comenti zao.
Hamis Kigwangala sio mtu makini.Kamati ya Zitto kabwe imeona umuhimu wa kuazima majembe matatu kusaidia katika kuandaa ripoti ya kuwasilisha bungeni kutoka katika taarifa ya CAG iliyowasirishwa ktk kamati ya PAC....Majembe hayo ni:
1. Luhaga Joelson Mpina-Mbunge wa Kisesa(CCM)-Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara.
2. Kangi A.Lugola-Mbunge wa Jimbo la Mwibala (CCM)
3. Hamis Kigwangala-Mbunge wa Jimbo la Nzega(CCM) mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya maendeleo ya jamii.
Kwa watu hawa makini kiongezwa katika panel ya kufukunyua Mafisadi watatokea wapi?
Hakuna mbunge wa chadema mwenye akili hata mmoja anayeweza kufanya kazi hiyo.