RIP pole kwa wafiwa TANZANIA MPYA TUNAONGOJA BUT HAIFIKI sijui inakuja kwa lift ya KOBE?Habari wanaJF,
Watu watatu wafa papo hapo leo baada ya lori likielekea nchini Burundi kuanguka katika mteremko wa milima ya K9 wilayani Ngara.
Taarifa zaidi zinakuja wakuu.
RIP marehemu woteHabari wanaJF,
Watu watatu wafa papo hapo leo baada ya lori likielekea nchini Burundi kuanguka katika mteremko wa milima ya K9 wilayani Ngara.
Taarifa zaidi zinakuja wakuu.
Halijaanguka bali limepindukaView attachment 390285
Habari wanaJF,