Nimekuwa nikifikiria sana na kugundua kuwa Mara nyingi tumekuwa tukifikirishwa na hivi kuyachukulia baadhi ya mambo kuwa ni mabaya hata km c mabaya na mengine kuwa ni mazur ht km c hivyo kisa tu eti yamesemwa na flani ambae ni maarufu.
Kwa mawazo yangu mm,wapigania wokovu/ukomboz wa kweli,hawawatengi wenye dhambi na kuwakataa badala yake huwapokea na kuwasaidia wasigeuke nyuma(wasirud dhambini).
Yesu alipinga dhambi/uovu kila siku ktk maisha yake hapa duniani,lkn aliwaruhusu wenye dhambi kuungana nae ili atimize malengo yake ya ukombozi,kwani angewezaje kuwakomboa wkt anawatenga na kukumbatia waliosafi ambao hata ujio wake usingekuwa na sababu km watu wote wangekuwa safi?
Alipokaa na wenye dhambi wanaowaza vibaya wakamlaumu eti kisa anakaa na kula na wenye dhambi.
Mwenyewe akajibu "sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu"(rejea Lk 5:30-32).
Mtakatifu Paulo alikuwa mdhambi mkubwa na muuaji alieangamiza kanisa na hivyo alikuwa anamuudhi yesu(rejea matendo 9:1-5).
Lkn yesu kwa kuwa hakuwa na chuki wala maslah binafs zaidi ya kukomboa,alimpokea Paulo ktk kambi yake na umeona ni jinsi gani Paulo alivyoeneza habari njema(rejea matendo 9:17-21).
Mungu hapendi dhambi.Hilo twalijua na tumesikia waziwazi akiipinga dhambi(rejea 1kor 6:9-10/kumb 25:16/isaya 59:2).
Lkn zakayo mtoza ushuru akiwa miongoni mwa hao watenda dhambi,alipoamua kwa hiari yake kuja kwa yesu upande ambao kwa wkt huo aliuona wa haki,yesu hakumkataa,alimpokea kiroho safi na kumwambia "wokovu umefika kwako"(rejea Lk 19:1-10).
Biblia ktk mifano mbalimbali ilioitumia,upo mfano wa kondoo aliepotea.
Ktk mfano huo mchungaji mwenye kondoo 100,anatajwa kuwaacha kondoo 99 na kwenda kumtafuta kondoo mmoja aliepotea na furaha ya kumpata kundoo huyo mmoja aliepotea ni kubwa mno(rejea math 18:12-13).
Hii haina maana wale kondoo 99 hawana thamani,bali kwa wapigania wokovu wa kweli furaha kwao ni kukomboa waliopotea na c kuwafungia mlango ili wabaki upotevuni,na wao kubaki na wasafi walewale pasipo kukomboa wengine.
Kwa uelewa wangu fundisho la kibiblia ni kwamba,historia haina nafasi ktk safari ya wokovu kwa Maana ya kwamba,km uliishi dhambini kwa mda mrefu huko nyuma,lkn ikafika siku ukafanya toba ya kweli na kifo kikakukuta ktk hari hiyo,basi utakuwa ktk wokovu.Na km uliishi kitakatifu siku nyingi huko nyuma, lkn ukaja kuanguka dhambini na ukafa ktk hari hiyo,utakuwa umeangamia.
Kwaio ktk maisha ya kupigania wokovu au ukombozi,ni lazima kukomboa walio na wanaopotea na kuwaacha.
Hivyo ili kufanikisha ni vema kila aangukae ainuke safari iendelee,na akishindwa kuinuka asaidiwe kwani akiinuka ni furaha lkn akishindwa kbs kuinuka ni jambo la kusikitisha lkn safari iendelee.Na wkt huohuo ni lazima mkomboe wale waliopotea ili kuongeza kundi la wasiopotea na kupunguza kundi la waliopotea.
Sasa Mimi nashangaa;
Mtu anapigania ukombozi wa watu,alaf mtu huyohuyo hataki waliopotea watoke upotevuni waingie upande alipo yeye!!!
kwa madai eti watanzania msiwafanye hawana akili,iweje mtu yuleyule mliesema mchafu leo mnampokea?!!
Unapiganiaje ukombozi wkt hufurahii waliopotoka kuacha upotovu na kuja kwako?!!!
Au labda hujiamini,hivyo unaamini kuwa hauna uwezo wa kumfanya huyo anaetoka uovuni kuachana na uovu wake?!!!
Na hivyo unaamini nguvu yake ni kubwa kiasi kwamba atakubadilisha wewe kuwa muovu?!!!
Au labda issue c ukombozi kuna kitu nyuma ya pazia ambacho mnadhani mkipokea watu zaid manufaa yake kwenu binafs yatapungua?!!!
Hivi hawa UKAWA hawana madhaifu hata kidogo ya kuwakosoa ili wajirekebishe mpaka tulaumu ambalo c tatizo hata kidogo na wala halina mashiko?!!!
Wewe ni nani hata useme mtu aliekosea hafai tena,wkt Mungu mwenyewe anakubali toba?!!!.
(Ni mawazo yangu tu,huna sababu ya kukwazika).
Mwanamageuzi.