mkafrend
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,047
- 1,503
WanaJF, Salaam tena!
Napenda kuwafahamisha kuwa mara zote tutatofautishwa na mambo kadhaa ikiwemo itikadi za kisiasa na kidini lakini pia kama watanzania tunaunganishwa na Utanzania. Hapa tunapounganishwa na utanzania tuachilia mbali tofauti zetu zingine na kuungana kufanya mambo yenye maslahi na nchi yetu - taifa letu.
Kusema kweli Mhe. Dkt JPM ni raia mwema wa taifa hili, ni mpinga umaskini hapa nchini toka enzi za ubunge, uwaziri na sasa urais. Nachotaka kuwaomba ni kila mmoja ajitahidi kumwombea na kushawishi ili ajipatie tuzo ya MORE IBRAHIMU au tuzo ya Nobel ili watanzania tuingia ktk lile jengo Nchini sweden basi tufurahishwa na kuandikwa kwa historia ya mtanzania mwenzetu kwenye medani za kimataifa.
Hata wale waliopata hapakuwa na miujiza zaidi ya hii ya utendaji wa Dkt Magufuli, naamini basi hapa kila mmoja amenielewa na Mhe. Rais afahamu kuwa maombi juu yake yameanza. "You can not know the value of water until ponds are dry" - sasa tusisubiri tuanze sasa hivi.
MUNGU MBARIKI JPM
MUNGU IBARIKI CCM ILIYOMLEA
MUNGU IBARIKI TANZANIA