Watanzania wote tunakwepa kodi

KAMA
  1. Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
  2. kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
  3. kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
Nimekwepaje kodi wakati kabla ya vitu vyote hivyo kutumika nchini vimepigwa kodi bandarin,mipakani,viwandani?

Kuchagua bidhaa za bei ya chini si kukwepa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwepaje kodi wakati kabla ya vitu vyote hivyo kutumika nchini vimepigwa kodi bandarin,mipakani,viwandani?

Kuchagua bidhaa za bei ya chini si kukwepa kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Detective J kwani kodi inatozewa wapi? basi TRA wangekuwa bandarin,mipakani,viwandani na siyo kuwa kila mahali na kugonga milango ya wafanyabiashara kila kona ya nchi
 
KAMA
  1. Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
  2. kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
  3. kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
You should know that the system of assessing tax is not friend to anyone
 
Hauelewi ulichokiandika. Unaanzaje kusema watanzania wote wanakwepa kodi kwa kutaja vitu vichache tena visivyokua na uhusiano na hoja yako?

Wafanyakazi wanakatwa kodi kabla hawajapewa ujira wao, hao unawaweka kwenye kundi gani kwenye maelezo yako unaposema watanzania wote wanakwepa kodi?

Wanaweza kutokulipa kodi kwenye baadhi ya bidhaa lakini haihalalishi kusema watanzania wote wanakwepa kodi.
 
Mkuu ukilipa wewe utakua umenilipia na mimi, tatizo ni kodi inatumikaje., sio kutwa kutuletea teuzi
 
You should know that the system of assessing tax is not friend to anyone
viking, so who do you expect will choose to go to bet with unfriendly partner?
 
The Monk, hivi unataarifa kuwa Mzee Mengi kama director wa IPP anakatwa PAYE kama wewe uliyeajiriwa serikalini, na zaidi ya hiyo analipa 30% ya faida ya biashara zake
 
viking, so who do you expect will choose to go to bet with unfriendly partner?
A tax man doesn't give you chance to to self assessment on your tax , he doesn't know how must your have paid for renting your office, or if it a house ,doesn't bother to know how much you have spent on renovation and so on and so forth
 
The Monk, hivi unataarifa kuwa Mzee Mengi kama director wa IPP anakatwa PAYE kama wewe uliyeajiriwa serikalini, na zaidi ya hiyo analipa 30% ya faida ya biashara zake

Sijaajiriwa serikalini MKUU lakini nakatwa kodi pesa ndefu tu, bado sijaongelea VAT kwenye manunuzi na miamala nnayofanya, hizo zote ni kodi.

Mie ukakasi upo kwenye heading yako. Umeandika "...watanzania wote tunakwepa kodi…" hapo ndio shida inaanza.
Vinginevyo ufafanue ni kodi ipi hiyo inayokwepwa na watanzania wote.
 
Lucky Dube "Taxman"


I pay my gardener
To clean up my garden
I pay my doctor
To check out da other ting
I pay my lawyer
To fight for my rights
And I pay my bodyguard
To guard my body
There's only one man I pay
But I don't know what I'm paying for
I'm talking about the taxman [x3]

[Chorus: x4]
What have you done for me lately
Mr taxman

You take from the rich
Take from the poor
You even take from me
Can't understand it now
I pay for the police
To err... I don't know why
'Cause if my dollar was good enough
There wouldn't be so much crime
In the streets
They tell me you're a fat man
And you always take and
Never give

[Chorus: till fade]​
 
KAMA
  1. Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
  2. kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
  3. kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
Hata tukilipa matumizi yake ndio kizungu mkuti. Zikiulizwa zimetumika vp? Hali inakuwa kama unavoiona.
 
Mimi nachojua kila mmoja kwa nafasi yake ni "mwizi",tunachoshukuru ni kwamba hatujakamatwa tu ili uwizi wetu udhihirike!

Siwezi kusema kundi fulani linaongoza maana hii ina-apply kwa wote.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
"Detective J kwani kodi inatozewa wapi? basi TRA wangekuwa bandarin,mipakani,viwandani na siyo kuwa kila mahali na kugonga milango ya wafanyabiashara kila kona ya nchi
Mbona kote wapo mkuu. Kwenye maduka napo wako mkuu . Sasa inategemeana sehem yenyewe ikoje. Kwa mama ntilie pale unapoenda kununua chakula. Pesa unayolipa imefidia na kodi humo humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA
  1. Umekula kwa mama ntilie leo kwa sababu bei yake iko chini- umekwepa kodi kupata unafuu
  2. kama umevaa nguo za mtumba umekwepa kodi umekwepa kodi kupata unafuu
  3. kama umenunua bidha yoyote kwa machinga umekwepa kodi kupata unafuu
Kwani hiyo kodi hata usipoikwepa inakusaidia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mazingira hayo sijakwepa kodi ila nimekuwa' exempted from paying tax' kwa kuwa wanaofanya shughuli hizo wanakuwa' exempted from paying tax'
 
"The Monk, kwa akili yako unadhani unapiga simu muda mrefu kulio mzee Mengi?
 
mazingira hayo sijakwepa kodi ila nimekuwa' exempted from paying tax' kwa kuwa wanaofanya shughuli hizo wanakuwa' exempted from paying tax'
FPT, ukishaingaza neno hilo EXEMPTED-nchi inafia hapo-. hivi nyinyi mlio EXEMPTED barabara zenu ziko wapi? mnasoma shule zipi? mnao watukana wankwepa kodi wakati wanakatwa kodi tena kwa dhuluma ndio wanaowalipia elimu watoto wenu wakati wa kwao wanasoma FEDHA
 
Mbona kote wapo mkuu. Kwenye maduka napo wako mkuu . Sasa inategemeana sehem yenyewe ikoje. Kwa mama ntilie pale unapoenda kununua chakula. Pesa unayolipa imefidia na kodi humo humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Detective J, halafu mama ntilie anaenda kuilipa lini serikalini ili ajengewe zahanati, shule na barabara
 
"The Monk, kwa akili yako unadhani unapiga simu muda mrefu kulio mzee Mengi?

Sidhani kama umesoma vizuri kichwa cha habari na kitu nnachokijadili mimi. Unapoandika Watanzania wote tunakwepa kodi unamaanisha nini?

Kwa aina ya maswali unayouliza naona kama mjadala unataka kukuzidi kimo au kuna mahali kuna kitu hakipo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…