Yurayezekiel
Member
- Dec 3, 2018
- 81
- 60
Hivi huyu Zana Culibali simba walipewa bure au nyongeza?
HOYEEEEHABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni kwa mchina stadium tukapaze saut YES WE CAN simba yetu mwakilish wa TANZANIA YETU HAPA USHINDI TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Game ya leo anafokea na kipa kama mtoto limesimama kama pipa,pumbavu hilo jamaaHivi huyu Zana Culibali simba walipewa bure au nyongeza?
Huyu nadhan alikua dancer kabla ya kuja bongo.Hivi huyu Zana Culibali simba walipewa bure au nyongeza?
Kabla ya mechi mnaamkia baada ya mechi na ikatokea mkashinda hapo mambo yanabadilikaHABAAR LIKA LANGU WAKUBWA SHIKAMOOOOO, Ndugu wote tu watanzania naomba tuweke tofaut zetu pembeni ili kesho tumwaibishe mwarabu maana hawez kuja na kutamba kwenye himaya yetu lazma afe twendeni kwa mchina stadium tukapaze saut YES WE CAN simba yetu mwakilish wa TANZANIA YETU HAPA USHINDI TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika usajili mbovu ambayo simba imefanya mwaka jana ni huu uyo culibali, alikua muasi wa kundi la Seleka uyu hakua mchezaji, tulipigwaHivi huyu Zana Culibali simba walipewa bure au nyongeza?
Huyo kaletwa na ManaraHivi huyu Zana Culibali simba walipewa bure au nyongeza?