Dalton elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 780
- 1,831
Watanzania wenzangu, tusipoamka sisi na kufunguka fahamu zetu, CCM wataendelea kutuona kama "toilet paper". Watatutumia wapendavyo na kututupa. Hakuna cha maana zaidi hawa watu wanaweza kututendea kama taifa. Fikra zao zimefika ukomo.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepumzika.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ameyasema hayo leo, Aprili 10, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Somanga, mkoani hapa mara baada ya kukagua maendeleo ya Daraja la Somanga-Mtama, linaloendelea na ujenzi.
Makalla ambaye yuko katika ziara ya siku 10 iliyoanza leo, ikihusisha mikoa ya Lindi na Mtwara, anasema CCM kimejipanga kwa Uchaguzi Mkuu mwaka huu na wana uhakika wataibuka na ushindi wa kishindi