Watanzania wengi ni mbilikimo

Mbona unauzidi mlango mbali , kwake mlango ni dirisha la chini inabidi kuinama
 
Weka na picha za mbilikimo pia tuwaone
 
Tuwekee na picha ya yule aliyesema wapinzani ni wapumbavu na malofa please
 
Bhana hakuna mtu mfupi Ila inategemea umesimama na nani.
 
Duh ndo huyu jamaa alikua anadate na jokate? mmmhhh
Hatari
 
....inaelekea jamaa siku hizi anakula ndumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…