Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,833
- 979
Utangoja sana ndugu yangu, mawazo yako ndio umasikini wakoADUI YANGU NI CCM NA WASHIRIKA WAKE
Umenena vyema. "TUFANYE KAZI"Hebu tusianze kunyosheana vidole.. hakuna tija ktk kupakiziana!! TUFANYE KAZI !!
KWELI YATUPASA KUJIHOJI TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU.Inashangaza sana kuona lawama zote zinatupiwa kwa serikali. Huo ni uvivu wa kufikiri. Jambo kubwa ambalo unapaswa kulifanya, ni kuona je, wewe unamchango gani kwa serikali yako?
Ni ukweli usiopingika kuwa yapo mambo ambayo serikali haikiwa ikifanya vizuri sana huko nyuma lakini sasa yanatilikiwa mkazo. Mfano mwananchi hajengi barabara ya lami, hajengi miundombinu ya umeme n.k. Lakini wananchi wanayo nafasi kubwa ya kujiletea maendeleo wakishirikiana na serikali.
Hebu jiulize ni kwanini mikoa ya Kaskazini hususani Kilimanjaro na Arusha imeendelea sana? Maji, huduma za afya na elimu pamoja na umeme mpaka vijijini. Je, serikali imewapendelea?
Ni wakati wa watanzania kuamka na kufanya kazi kwa bidii kubwa na maarifa. Ni wakati wa kushirikiana na serikali kuleta maendeleo. Kukaa na kulaumu serikali kwa kila jambo ni uzwazwa. Ni wakati wa kuona ni nini tunaifanyia Tanzania kuliko kutaka tuu kufanyiwa mambo yote na serikali. Inakera na inaudhi.
Amani Msumari
AKILI YANGU IKO THABITI.....A
ADUI NAMBA MOJA NI AKILI YAKO
OVA
Wee mvivu tu huna lingine!ADUI YANGU NI CCM NA WASHIRIKA WAKE
KWELI YATUPASA KUJIHOJI TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU.
Serikali ina wajibu wa kuweka network na uwanja mzuri wa kazi WATU WAJITUPE HUMO KUJIAJIRI N.K
IKISHINDWA HILO KWELI YATUPASA KUJIULIZA TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU KUIOKOA. HAKUNA JINSI NI KUIWEKA SERIKALI NYINGINE ITAKAYOTUPA UWANJA MZURI, USIOKUWA NA VIKWAZO.
UMESEMA
"Ni wakati wa watanzania kuamka na kufanya kazi kwa bidii kubwa na maarifa."
Sasa nimeamka natumia maarifa yangu kwanza kuona KUNA UWANJA MZURI WA KUANZISHA AJIRA. NAANZIA HAPO, Kama hakuna 2020 nifanye nini! Hapa nafanya hii kazi ya kuchunguza uwanja kwa bidii!!! Nikiipata najiajiri na kuajiri. Ni kwa bidii.
Ahsante kwa kuniamsha kwa kiwango kipya!
Umenena vyema. "TUFANYE KAZI"
Kama hutaki kulima unaweza imba twaarabuKazi zenyewe ziko wapi? Unataka kuniambia unemployment rate ni single digit Tanzania hii? Tafadhali usiseme nikalime maana hata ardhi sasa imekuwa gem!
Kama hutaki kulima unaweza imba twaarabu
Mkuu Msumari asante kwa bandiko hili. Kumbe watu wa mikoa ya Kaskazini ule umeme, maji, mashule, mahospitali, barabara za lami hadi Vijijini kumbe wamechangishana wakatengeneza wenyewe? !.Hebu jiulize ni kwanini mikoa ya Kaskazini hususani Kilimanjaro na Arusha imeendelea sana? Maji, huduma za afya na elimu pamoja na umeme mpaka vijijini. Je, serikali imewapendelea?
Amani Msumari