Watanzania wengi hatumjui adui yetu

Watanzania wengi hatumjui adui yetu

WATU KAMA KAZI WANAFANYA KAMA KUJIARI WATU WASHAJIARI KITAMBO SANA....MFUMO MFUMO WA SERIKALI NI MMBOVU

OVA
FANYA KAZI KWA BIDII KUBADILI MFUMO, tumia maarifa, na nyakati husika (2020,2025....)
 
Adui wa kwanza wa mwanadamu ni tamaa.

Ili kukabiliana naye yatupasa kutumia nafsi zetu kushinda mwili/tamaa hapa ndipo Imani inapoingia/hofu ya Mungu .
 
ADUI NAMBA MOJA NI CCM

OVA
Ni kweli, kitendo cha kumsimika prezida mpinga ufisadi na kufunga mianya yote ya kilaghai ni lazima tuichukie maana tulishazoe vitu vya dilidili ,kwahiyo bila kufanya kazi na tushazoea vya dezo, lazima tuichukie ccm
 
MFUMO ULIYOPO SIYO

OVA
 
Back
Top Bottom