Watanzania wengi hatumjui adui yetu

Watanzania wengi hatumjui adui yetu

Amani Msumari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
1,833
Reaction score
978
Inashangaza sana kuona lawama zote zinatupiwa kwa serikali. Huo ni uvivu wa kufikiri. Jambo kubwa ambalo unapaswa kulifanya, ni kuona je, wewe unamchango gani kwa serikali yako?

Ni ukweli usiopingika kuwa yapo mambo ambayo serikali haikiwa ikifanya vizuri sana huko nyuma lakini sasa yanatilikiwa mkazo. Mfano mwananchi hajengi barabara ya lami, hajengi miundombinu ya umeme n.k. Lakini wananchi wanayo nafasi kubwa ya kujiletea maendeleo wakishirikiana na serikali.

Hebu jiulize ni kwanini mikoa ya Kaskazini hususani Kilimanjaro na Arusha imeendelea sana? Maji, huduma za afya na elimu pamoja na umeme mpaka vijijini. Je, serikali imewapendelea?

Ni wakati wa watanzania kuamka na kufanya kazi kwa bidii kubwa na maarifa. Ni wakati wa kushirikiana na serikali kuleta maendeleo. Kukaa na kulaumu serikali kwa kila jambo ni uzwazwa. Ni wakati wa kuona ni nini tunaifanyia Tanzania kuliko kutaka tuu kufanyiwa mambo yote na serikali. Inakera na inaudhi.

Amani Msumari
 
Mbona wapo watu wenye mafanikio pamoja na serikali hiyo ya CCM kuwa madarakani?
 
Hebu tusianze kunyosheana vidole.. hakuna tija ktk kupakiziana!! TUFANYE KAZI !!
 
Inashangaza sana kuona lawama zote zinatupiwa kwa serikali. Huo ni uvivu wa kufikiri. Jambo kubwa ambalo unapaswa kulifanya, ni kuona je, wewe unamchango gani kwa serikali yako?

Ni ukweli usiopingika kuwa yapo mambo ambayo serikali haikiwa ikifanya vizuri sana huko nyuma lakini sasa yanatilikiwa mkazo. Mfano mwananchi hajengi barabara ya lami, hajengi miundombinu ya umeme n.k. Lakini wananchi wanayo nafasi kubwa ya kujiletea maendeleo wakishirikiana na serikali.

Hebu jiulize ni kwanini mikoa ya Kaskazini hususani Kilimanjaro na Arusha imeendelea sana? Maji, huduma za afya na elimu pamoja na umeme mpaka vijijini. Je, serikali imewapendelea?

Ni wakati wa watanzania kuamka na kufanya kazi kwa bidii kubwa na maarifa. Ni wakati wa kushirikiana na serikali kuleta maendeleo. Kukaa na kulaumu serikali kwa kila jambo ni uzwazwa. Ni wakati wa kuona ni nini tunaifanyia Tanzania kuliko kutaka tuu kufanyiwa mambo yote na serikali. Inakera na inaudhi.

Amani Msumari
KWELI YATUPASA KUJIHOJI TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU.
Serikali ina wajibu wa kuweka network na uwanja mzuri wa kazi WATU WAJITUPE HUMO KUJIAJIRI N.K
IKISHINDWA HILO KWELI YATUPASA KUJIULIZA TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU KUIOKOA. HAKUNA JINSI NI KUIWEKA SERIKALI NYINGINE ITAKAYOTUPA UWANJA MZURI, USIOKUWA NA VIKWAZO.
UMESEMA
"Ni wakati wa watanzania kuamka na kufanya kazi kwa bidii kubwa na maarifa."
Sasa nimeamka natumia maarifa yangu kwanza kuona KUNA UWANJA MZURI WA KUANZISHA AJIRA. NAANZIA HAPO, Kama hakuna 2020 nifanye nini! Hapa nafanya hii kazi ya kuchunguza uwanja kwa bidii!!! Nikiipata najiajiri na kuajiri. Ni kwa bidii.
Ahsante kwa kuniamsha kwa kiwango kipya! NITAMJUA TU ADUI YANGU NA ATANITAMBUA
 
Adui mkubwa wa Tanzania ni watanzania wenyewe. Angalieni kwenye wizara za serikali na mashirika ya umma, ni wachache sana ndiyo wanaofanya kazi na wengi wao hawajuwi majukumu yao kazini. Muda wa kazi kuhudumia wananchi hawapo kazini, wako mitaani au wamerudi nyumbani kulala. Wakiwa kazini wao kazi yao ku-google watu mashuhuri duniani wamekula nini au fesibuku na kujiuza Instagram.
 
A

ADUI NAMBA MOJA NI AKILI YAKO

OVA
AKILI YANGU IKO THABITI.....
ILA MFUMO UNAOTIENDESHAAAA....N'A
HAWATAWALA NDIYO WANATUFANYA MPAKA TUNAKUWA HIVI....
MFUMO,SERIKALI,CHAMA.....KINACHOTAWALA NDIYO WA KULAAUMIWA
 
WATU KAMA KAZI WANAFANYA KAMA KUJIARI WATU WASHAJIARI KITAMBO SANA....MFUMO MFUMO WA SERIKALI NI MMBOVU

OVA
KWELI YATUPASA KUJIHOJI TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU.
Serikali ina wajibu wa kuweka network na uwanja mzuri wa kazi WATU WAJITUPE HUMO KUJIAJIRI N.K
IKISHINDWA HILO KWELI YATUPASA KUJIULIZA TUNAIFANYIA NINI NCHI YETU KUIOKOA. HAKUNA JINSI NI KUIWEKA SERIKALI NYINGINE ITAKAYOTUPA UWANJA MZURI, USIOKUWA NA VIKWAZO.
UMESEMA
"Ni wakati wa watanzania kuamka na kufanya kazi kwa bidii kubwa na maarifa."
Sasa nimeamka natumia maarifa yangu kwanza kuona KUNA UWANJA MZURI WA KUANZISHA AJIRA. NAANZIA HAPO, Kama hakuna 2020 nifanye nini! Hapa nafanya hii kazi ya kuchunguza uwanja kwa bidii!!! Nikiipata najiajiri na kuajiri. Ni kwa bidii.
Ahsante kwa kuniamsha kwa kiwango kipya!
 
Hivi unafikiri Mbowe, Lowassa, Mnyika n.k wanaamini adui yao kiumaendeleo ni CCM kama unavyoamini wewe shabiki uchwara?Kalaghabaho
 
Hebu jiulize ni kwanini mikoa ya Kaskazini hususani Kilimanjaro na Arusha imeendelea sana? Maji, huduma za afya na elimu pamoja na umeme mpaka vijijini. Je, serikali imewapendelea?
Amani Msumari
Mkuu Msumari asante kwa bandiko hili. Kumbe watu wa mikoa ya Kaskazini ule umeme, maji, mashule, mahospitali, barabara za lami hadi Vijijini kumbe wamechangishana wakatengeneza wenyewe? !.

Basi ngoja tuwachangishe Lindi, Mtwara, Singida, na Dodoma nao wajenge zao,wavute umeme wao na kujenga mashule na mahospitali wawe kama Moshi na Arusha.
Pasco
 
Back
Top Bottom