mwana harakati, pamoja na kuwa bias, baadhi yetu pia hupenda kukiss ass huku tukiuana wenyewe. Ukitaka kuanzisha biashara, mhindi atakulaghai uende kwake usimsaidie mtanganyika mwenzako. Yaani hii ni wazi kiasi kwamba yule wakili maarufu mwenye benki ya herufi ya kumi na tatu ya kiingereza alisema kuwa ubia wake na wahindi ni kutokana na ukweli kwamba angekuwa mwenyewe au na ngozi nyeusi wengine, hata hiyo benki ingekuwa ndoto. Hili ndio jambo ambalo Iddi Simba (na Mengi pia) wamekuwa wakilipigania kwani kama wafanyabiashara chipukizi, walipata shida sana na wasingependa wengine wapate shida waliyopata wao.
Kwa kifupi na kwa mawazo yangu, wahindi wamechangia kwa kiasi kikubwa sana uwepo wa kero ya ufisadi.