Kwani Bwashee Hao akina Lema,Mbowe,Zito,Mdee,Bulaya,LISSU n.k wamesoma mitaala ya Nchi gani?na imetengenezwa na utawala wa chama gani?Tatizo kubwa ZAIDI NI UJINGA WATANZANIA WENGI NI WAJINGA SANA Hawaelewi kitu chochote. Hasa upande wa siasa.
Mfumo wa Elimu za chini hauruhisu wanafunzi kusoma Elimu ya siasa na uraia kwa mapana yake..
CCM wameua ELIMU makusudi kwa KULETA SHULE MBOVU NA MITAALA MIBOVU ILI KUTENGENEZA WAJINGA AMBAO NDIO MTAJI WAO KISIASA.
Elimu.
Elimu.
Elimu
SwaliBila kupindisha maneno nchi yetu kwasasa inakabiliwa na mabadiliko makubwa ya mfumo.
Mfumo wa zamani wa vyama vingi na demokrasia unaelekee kufa na kuja mfumo mpya kama wa Rwanda, Urusi na China.
Utawala wa Chama kimoja na mtu mmoja wa awapendaje. Huu mfumo wa aina yake unaonekanaga mzuri pale tu ukiwa na kiongozi mzuri mzalendo lakini ukipata kiongozi mbinafsi mmoja tu anaweza kubadilisha nchi na akawa mfalme na kuwapa Watoto wake madaraka.
Je, Tanzania tunataka maendeleo ya muda ambayo haturuhusiwi kuhoji chochote zaidi ya wale tu wanao support au tunapenda demokrasia ya muda mrefu ambayo pamoja na matatizo yake ni Watanzania wanachagua watu wenyewe wawapendao
Tatizo kubwa tulilonalo kwa sasa ni kuwa na waaandishi wa Habari ambao wamebobea kuunga mkono kila kitu badala ya kupigania uhuru. Wenye ushabiki kuliko hoja na wanaopenda vihoja kuliko kuwa makini.
Tatizo lingine kutokana na nchi yetu kuwa na vijana wadogo wengi zaidi ya 80% chini ya miaka 28 tumekuwa ni nchi ya malimbukeni wengi kwasababu hawa madogo bado wengi hata hawajui dunia inapoenda.
Tushishangae wahamasishaji wakubwa ni wasanii ambao wengi hata Form 6 hawajafika, wasanii wanao toboa masikio, pua na kupaka rangi nywele. Kwa kimsingi wasanii sio Maisha halisi ya hawa vijana na hata majina wa usanii sio yao na ni waigizaji. Lakini hawa ndiyo wanatumika kuomba kura.
Kwa sababu ya mapungufu yetu ya kuwa na vijana wengi wasio jua na tamaa kubwa ya madara kwa viongozi wetu wanaopenda kusifiwa Tanzania inalekea kwenye udikteta. Kibaya zaidi inaelekea wachache wanaojua kinachoendelea nao wanatafuta pesa ambayo imezidi kuwa ngumu.
Wapinzani wamekuwa wanapigwa risasi, kufunguliwa kesi na kufungiwa biashara na wale wasioelewa wamekuwa wanakejeli tu bila kujua yajayo.
Tatizo lingine Watanzania wengi hawajui wanataka Tanzania gani?
Kinachonipa faraja ni kwamba, jamaa anaumwa sana ila anajikaza kaza tu mbele za watu! 2021 kama ataimaliza nasi ashukjru Mungu sana!Utawala wa Chama kimoja na mtu mmoja wa awapendaje. Huu mfumo wa aina yake unaonekanaga mzuri pale tu ukiwa na kiongozi mzuri mzalendo lakini ukipata kiongozi mbinafsi mmoja tu anaweza kubadilisha nchi na akawa mfalme na kuwapa Watoto wake madaraka.
Una maana Wah.......Tunataka tuwe na mfalme ,kama huyu Raisi na kwa vile bunge lote ni limeundwa na CCM itakuwa rahisi kubadilisha cheo badala ya Raisi awepo Mfalme na pia ufalme usitokane tena na CCM bali tutumie Kabila la Mheshimiwa magufuli ndio liwe linatoa wafalme.
Tutapendeza zaid kulivyo tulivyo sasa.
Hayo ndio matamanio yako,hayo yote,yanahasara kuliko faida kama bado hujabaini.Bila kupindisha maneno nchi yetu kwasasa inakabiliwa na mabadiliko makubwa ya mfumo.
Mfumo wa zamani wa vyama vingi na demokrasia unaelekee kufa na kuja mfumo mpya kama wa Rwanda, Urusi na China.
Utawala wa Chama kimoja na mtu mmoja wa awapendaje. Huu mfumo wa aina yake unaonekanaga mzuri pale tu ukiwa na kiongozi mzuri mzalendo lakini ukipata kiongozi mbinafsi mmoja tu anaweza kubadilisha nchi na akawa mfalme na kuwapa Watoto wake madaraka.
Je, Tanzania tunataka maendeleo ya muda ambayo haturuhusiwi kuhoji chochote zaidi ya wale tu wanao support au tunapenda demokrasia ya muda mrefu ambayo pamoja na matatizo yake ni Watanzania wanachagua watu wenyewe wawapendao
Tatizo kubwa tulilonalo kwa sasa ni kuwa na waaandishi wa Habari ambao wamebobea kuunga mkono kila kitu badala ya kupigania uhuru. Wenye ushabiki kuliko hoja na wanaopenda vihoja kuliko kuwa makini.
Tatizo lingine kutokana na nchi yetu kuwa na vijana wadogo wengi zaidi ya 80% chini ya miaka 28 tumekuwa ni nchi ya malimbukeni wengi kwasababu hawa madogo bado wengi hata hawajui dunia inapoenda.
Tushishangae wahamasishaji wakubwa ni wasanii ambao wengi hata Form 6 hawajafika, wasanii wanao toboa masikio, pua na kupaka rangi nywele. Kwa kimsingi wasanii sio Maisha halisi ya hawa vijana na hata majina wa usanii sio yao na ni waigizaji. Lakini hawa ndiyo wanatumika kuomba kura.
Kwa sababu ya mapungufu yetu ya kuwa na vijana wengi wasio jua na tamaa kubwa ya madara kwa viongozi wetu wanaopenda kusifiwa Tanzania inalekea kwenye udikteta. Kibaya zaidi inaelekea wachache wanaojua kinachoendelea nao wanatafuta pesa ambayo imezidi kuwa ngumu.
Wapinzani wamekuwa wanapigwa risasi, kufunguliwa kesi na kufungiwa biashara na wale wasioelewa wamekuwa wanakejeli tu bila kujua yajayo.
Tatizo lingine Watanzania wengi hawajui wanataka Tanzania gani?
Thibitisha hilo.Nchi wanayoitaka watanzania haipo na haijawahi kutokea